Birds, So Cute

Birds, So Cute

Ulijuaje mkuu? Huku kwetu wengi sana..na kuna sehemu inaitwa Mazumbai forest pia wako wa kila aina!
Mimi kwetu ni Bumbui Kaya, nakuja sana hapo mishale ya Noeli kuangalia uumbaji...........
 
548853_10151284381722486_838227342_n.jpg

460530_10151280620512486_152931937_o.jpg

67701_10151275333582486_293177358_n.jpg


537478_10151275103452486_45179528_n.jpg


151076_10151272926412486_1495352346_n.jpg


205060_389137247832238_188541304_n.jpg
 
Mbuzi mzee thanx kwa kunisafisha macho,ningeipata ile ya mwanzo ningepamba sebuleni kwangu
 
Angalia kipindi chaitwa Birds of Paradise ktk NAT GEO ndege wengi wanapatikana ktk misitu ya Amazon.
 
78.jpg The arctic tern migrates the farthest in a year, by a long way.
It migrates 22,000 miles each year, flying from the Arctic Circle to Antarctica— and then, half a year later, flies back again.
That's quite the journey for a bird.
 
79.jpg
Mbayuwayu ambao hufika nchini kila Novemba kupisha mabadiliko ya hali ya hewa Ulaya na kuondoka mwezi April kuanzia tarehe 15
 
Tukazane kuiondoa CCM madarakani kama kweli tunawapenda hawa ndege. Misitu ya TAO la mashariki upande wa Morogoro ndio kuna bird species ambazo hazipatikani sehemu nyingine duniani. Kama wameweza kumpandisha TWIGA kwenye ndege, itakuwa tundege tudogo twenye gramu 25?

Tupige vita CCM, adui wa Twiga hai na Tembo wafu.
 
Back
Top Bottom