View attachment 74500
huyu kwa kifupi anaitwa silent killer, mzee wa kutega mingo
so cute..........
View attachment 75817
Mpwa uchokozi huo!
Hata mimi nimekukubali MANI
Ellli, basi ngoja nichukue jembe nikalime......................Hahahaa Mpwa mie hata simo mwaya, ila hebu soma Amavubi alichokiandika hapa hhahahahaaaa Amavubi acha uchokozi kwa Mpwa wangu bhana, umeshasahau kuwa mwisho wa dunia na Ulimwengu ni leo usiku..nimeshamuomba boss wangu salary yangu kabisaaaaa
Hahahaa Mpwa mie hata simo mwaya, ila hebu soma Amavubi alichokiandika hapa hhahahahaaaa Amavubi acha uchokozi kwa Mpwa wangu bhana, umeshasahau kuwa mwisho wa dunia na Ulimwengu ni leo usiku..nimeshamuomba boss wangu salary yangu kabisaaaaa