Tukazane kuiondoa CCM madarakani kama kweli tunawapenda hawa ndege. Misitu ya TAO la mashariki upande wa Morogoro ndio kuna bird species ambazo hazipatikani sehemu nyingine duniani. Kama wameweza kumpandisha TWIGA kwenye ndege, itakuwa tundege tudogo twenye gramu 25?
Tupige vita CCM, adui wa Twiga hai na Tembo wafu.
huyu ndege pia alikuwaga akipatikana maeneo ya kwetu huku zamani lakini siku hizi sijui kama bado wapo. Tulikuwa tukiamini kuwa ukimpata na kukunjia mkia wake kwenye shati au kabtula ya shule basi unakuwa na akili kuliko wote darasani. Kweli Jamii forums kiboko nimekubali!View attachment 75797
hawa walikua wanaonekana sana DSM wanaanza kutoweka kwa kasi sijui kama ndiyo hiyo CCSEMI
yaani nhata maeneo ya chuo alikua akipatikana, lakini ametoweka kwa kasi ya ajabu, nakumbuka kuna jamaa nilimkua kwenye mabwa katoka Marekani anamtafuyta Domo Jiko (Spoon Bill) J hiyo imani ilifanya kazi?huyu ndege pia alikuwaga akipatikana maeneo ya kwetu huku zamani lakini siku hizi sijui kama bado wapo. Tulikuwa tukiamini kuwa ukimpata na kukunjia mkia wake kwenye shati au kabtula ya shule basi unakuwa na akili kuliko wote darasani. Kweli Jamii forums kiboko nimekubali!