Birds, So Cute

Birds, So Cute

ox 3.jpg
hata hapa napata riziki yangu.............
 
flamingo.jpg
Heroe Mkubwa (Greater Flamingo) mnakumbuka kasheshe la kujenga kiwanda katika ziwa Magadi? (Natron) lenyewe lilihusu Heroe Wadogo (Lesser Flamingo)
 
blue-footed-boobie-bird.jpg
Blue Footed Bobie Bird, mara nyingi Generic names za ndege zinakwenda na jinsi alivyo tizama miguu yake ya Bluu
 
Blue_breasted_kingfisher.jpg
Ukimuona huyu na jamii yake jua kuna maji jirani, wanyama wengi huwafuata hawa kwa kiu
 
Back
Top Bottom