Birds, So Cute

RYB.png
ndani ya kiota, full ulinzi
 
HAMER.png
Hamerkop ama Fundi Mchundo kwa kiswahili, ni ndege mwenye kiota kikubwa kuliko ndege wote, kina sehemu mbili sebuleni na chimbani na inasemekana anakinakishi kwa hali ya juu sana, zamani ulikua unaweza kuona kiota chake pale makumbushon ya Taifa lakini huwa anajenga rafu sana na ndege wengi hukitumia kiota chake ila adui mkubwa ni nyoka ambaye hula mayai yake
 
YVB.png
unaweza usimpende sana kwa kuwa hana mvuto lakini kwa waliokulia vijijini na hata mijini anapatikana sana huyu, anaitwa common bulbul ay yellow vented bulbul (angalia ana njano fulani kwa chini) kiswahili huyu ndyo shorwe bwenzi (ana kibwenzi)

............upekee wake ni kwamba huyu ndiye song star of africa, ana milio mingi sana na hasa nyakati za asubuhi akishindana na spoted morning thrush
 
Wazuri sana hawa ndege....

Ikiwezekana basi tuwekee na majina yao...

Ahsante sana,

Babu DC!!
 
DUDU.jpg
White BROWED Coucal-HUYU NDIYE DUDUMIZI, eti akilia ni ishara ya mvua...dududududududududududuuuuuu...
 
Back
Top Bottom