View attachment 74498
Mnaukumbuka ule wimbo wa hata Njiwa ana mpenzi kwenye tundu???
View attachment 74605
View attachment 74606
African Fish Eagle........ukimuangalia Tai wa chini utapata some clues kwa nini American wanajifananisha na Tai
Ndege mahiri kwa nyimbo, inasemekana anaweza kuiga nyimbo zaidi ya 130, huenda ndiye anayeongoza, maeneo ya majumbani nykati za asubuhi hasa vijijini ndio utamsikia zaidi..............View attachment 74625