Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
ooohhh.............huruma sana...kuna mada nimepost hapo juu ya sbb za kutoweka kwa kasi kwa ndege duniani, kubwa sana ni uharibifu wa mazingira hasa kutokana na ongezeko la watu, pale chuo UDSM mapori mengi yamejengwa na hivyo kuwakimbiza sana lakini ya nyoka nadhani ni zaidi ya eco system huenda hawa ndio mbadala kwa sasanadhani kwa speed kubwa ya kuliwa na nyoka!!
anga zake kabisa hizi,nyoka hawakatizi hapo kwa huyu ndegehapa secretary anapiga menu!!
View attachment 76204
Heh na huyu ni tausi?so cute..........
View attachment 75817
View attachment 74596
unaweza usimpende sana kwa kuwa hana mvuto lakini kwa waliokulia vijijini na hata mijini anapatikana sana huyu, anaitwa common bulbul ay yellow vented bulbul (angalia ana njano fulani kwa chini) kiswahili huyu ndyo shorwe bwenzi (ana kibwenzi)
............upekee wake ni kwamba huyu ndiye song star of africa, ana milio mingi sana na hasa nyakati za asubuhi akishindana na spoted morning thrush