kweli kabisa naona mmefanana sana...............nataka kuja sikukuu lakini naogopa kiko hicho huenda nikakosa pozi la mkao
Mwe mpwa hivi leo ndio ile tarehe ya mwisho ngoja nami nikakombe changu kabla sijafa !
sio pied Kingfisher Mkuu?View attachment 74500
huyu kwa kifupi anaitwa silent killer, mzee wa kutega mingo