Biography Ya Regia Mtema

Uandishi wa Kitabu cha Marehemu Regia Mtema (Biography)

Kamati Teule iliyochaguliwa kuanzisha Taasisi ya Regia Mtema Foundation imedhamiria kufuatilia kuandikwa kwa kitabu cha Marehemu Regia Mtema kufuatia azimio lililoafikiwa katika kikao cha kwanza cha Marafiki wa Regia pale British Council na baadaye kuwekewa uzito katika kikao cha Kamati Teule.

Kamati Teule sasa inapenda kutoa fursa ya kualika mtu au kampuni yeyote ambayo inaweza kuifanya kazi hiyo ya uandishi kwa uharaka, ustadi na ubora wa hali ya juu. Itahitajika kujua mchanganuo wa gharama zote za zoezi zima.

Kazi hii inatarajiwa itahusisha kuweka kumbukumbu ya historia ya Regia, Kazi mbalimbali alizofanya, picha nk. nk.

Kama wewe ni mojawapo wa waandishi wa Biography au unamfahamu yeyote, tafadhali naomba tuwasiliane moja kwa moja kwa PM au kupitia barua pepe sam@danimex.com.

Mkuu asante sana, sasa mwangaza wa taasisi ya ndugu yetu kipenzi Regia naona inatimia! Umoja tulionao uendelee hivyohivyo!
 
Mkuu,
Kelele zote hizi zinasukumwa na UDINI, hakuna la ziada hapo!!! Pole sana vimba upasuke kitabu kitaandikwa na tutanunua!!! Kama vipi andika ya FAIZAFOXY-RIP in JF:cool2:
Kuandikwa na kununuliwa si hoja ! La msingi ni contents that counts , umeona eeeh! Kitakuwa kama vile vitabu vya 'shemeji kula' mambo iko huku' Kisamvu cha kopo' na kadhalika. Na vyote hivyo vinanunuliwa !
 
Uwezo wako wa kufikiri hauna tofauti na kisamvu cha kopo, kitabu kinaandikwa na tutanunua,

  1. Kwanza Regia alikuwa mlemavu aliyethubutu kujitosa katika kinyang'anyiro cha ubunge bila kujali mapungufu aliyonayo..
  2. Aliweza kukabili changamoto mbalimbali za kimaisha bila hofu wala mashaka yoyote...
  3. Hakuwa MDINI kama wewe..
  4. Maisha yake yana wa-inspire watoto wengi ambao ni marginalised na ambao ni physically challenged..

She was a hero...

Hizo na sababu nyinginezo nyingi zinamfanya awe mtu wa kupigiwa mfano.

Mkuu kama vipi andika za Mbunge wa BUBUBU-RIP:iamwithstupid:
 
Hizo sababu nne ndo za kuigwa na kuandika kitabu ! Moris Nyunyusa alipiga ngoma kumi bila kuona ! Itakuja kuwa huyo, kama aliweza kugombea ubunge basi hakuwa na kasoro, kama zingekuwepo zilipaswa kumzuia !:*
 
Watu mnatokwa na Pooooooovu! Mtafikiri mmetumia mapwouuuda! Mbona ilipoanzishwa AMINA CHIFUPA FOUNDATION hamkusema? Acheni hizo bana.
 
Ndo maana nimeuliza ''kaolewa!?'' isijekuwa kuna mtu analipa fadhila kwa kubeba bango humu ndani !

Kuolewa umeona kwa maana? Ni kuvaa Pete au kuutangazia uma kwamba we ni mrs? Nilikuuliza ulimtongoza alikukatalia? Hujanijibu maana sikuelewi asilani. KITABU kitaandikwa nitakuletea in person ukisome labda humjui vizuri. We unafikiri mtu mpaka apewe awards ndo ujue Kafanya Kazi. Nambie wangapi wamepewa tuzo. Kwa taarifa yako Regia ana award ya Mbunge Kijana mwanamke aliyefanya vyema Bungeni. Hutaki Nenda Jukwaa la kikubwa ukaangalie picha za ngono huko maana ndiko akili Na moyo wako unakofaa.
 
Mapenzi yenu kwake na performance ni vitu viwili tofauti ! Mtatokwa na povu la bure, kama hamsukumwi na mapenzi, unazi na kujipendekeza, basi shusha data zake za perfomance hapa ! Mnatushughulisha tuu hapa, Regia Regia Regia kutwa kucha ! Tafuteni nazi mkune ! Au angalieni tui lisikatike.
 
Watu mnatokwa na Pooooooovu! Mtafikiri mmetumia mapwouuuda! Mbona ilipoanzishwa AMINA CHIFUPA FOUNDATION hamkusema? Acheni hizo bana.
Umewahi kuisikia imefanya nini cha maana hiyo foundation !? Ilianzishwa kiunazi na unafiki wa kuzitega ndio maana haina mbele wala nyuma ! Amina alifanya nini la maana zaidi ya kuandikwa na udaku !? Anazungumzia unga wakati mumewe ndio agent !
 
Back
Top Bottom