Biography Ya Regia Mtema

Ahsante, hayo pia ni mawazo ya mtu mwenye akili zake timamu. We cannot blem on you maana your thinking capasity myt be low or some gb in yo memory are empty au hukujua ulichokua unaandika au umesahau topic inahusu nini. Topic inahusu kuweka kumbukumbu kwa ajili kwa vizaz vijavyo, kuwaeleza Regia alikuwa nani ktk ulingo wa siasa za tz na kama mbunge, alikuwa na uwezogani binafsi ambao si tu wabunge wote female wa ccm bali hata wabunge 10 male "kama si wote" wa ccm hawakuwa nao, so we need contributio, view, opinion and critics as well.
IT IS NOT IMPORTANT IF YOU DONT FEEL!!!
Bi Titi awe na historia, Mama Maria awe na historia na Regia pia !? Aah ! Acheni ujinga bana ! Mkiamka ni Regia, mkilala ni Regia mkila pia ni Regia, amekua Cocacola !
 
..WHAT IS WRONG WITH YOU?!!. Muanzisha thread ameeleza suala la kuandika Biography ya Regia liliazimiwa na Marafiki wa Regia waliokutana British Council, wewe ni mmoja wa hao Marafiki wa Regia?
Kama wewe sio mmoja wa Marafiki wa Regia, utapungukiwa na nini endapo Biography ya Regia itaandikwa na Marafiki zake?
Marafiki wa Regia, Tunawaunga Mkono, kazi hizi mnazoandaa kumhusu Dada yetu Regia tutazinunua na tutawasimulia watoto wetu, ni nani Regia na Ni nini alifanya kwa Nchi hii Masikini.
 
Hata mie inanishangaza sana watu humu walivyo bize na huyo Regia ! Ni mtoto wa juzi tu, sasa iweje amefanya makuuuuubwa mpaka muunde tume ya vitabu !? Sanasana mtaandika shule alisoma ! Hayo Mahaba yenu bakini nayo moyoni mwenu msimgeuze mradi, ushauri jengeni kisima au shule ili apate sadaka 'tul jaari'ah'
Pole sana na bado angalia tu usiache kinywa wazi unaweza pata uninvited guests.

Wewee na wenzio msikereke kwa hili, mkipenda mnaweza andika na nyie biography ya yeyote mumpendaye alomzidi Regia umri.

Sisi rafiki zake huu ndo uamuzi wetu kama nyie hamtaki mnaacha tu....
 
Sawa kabisa kiongozi,tena naomba hiko kitabu kifanywe haraka ili tupate fursa zaidi ya kumsoma kamanda Regia!
 
Pole sana na bado angalia tu usiache kinywa wazi unaweza pata uninvited guests.

Wewee na wenzio msikereke kwa hili, mkipenda mnaweza andika na nyie biography ya yeyote mumpendaye alomzidi Regia umri.

Sisi rafiki zake huu ndo uamuzi wetu kama nyie hamtaki mnaacha tu....

ninyi hamna mapenzi ya kweli na marehemu, ni uroho wenu wa pesa ndo unaowasukuma, mmemuona marehemu dili eee..2mewashtukia marafiki wanyonyaji!!!
 
Bi Titi awe na historia, Mama Maria awe na historia na Regia pia !? Aah ! Acheni ujinga bana ! Mkiamka ni Regia, mkilala ni Regia mkila pia ni Regia, amekua Cocacola !

Ukiona mtu Anatamkwa sana ujue aapendwa Na alifanya makubwa. Ni zaidi ya cocacola. Acha tufanye ujinga kwani kwetu ni hekima nyingi. Kama hutaki unaacha wafanye linalowahusu.
 
ninyi hamna mapenzi ya kweli na marehemu, ni uroho wenu wa pesa ndo unaowasukuma, mmemuona marehemu dili eee..2mewashtukia marafiki wanyonyaji!!!

How big discouragement u r doing, we will make this. Tutafanya Na zaidi ya kufanya.
 
Wangwe ni Mbunge wa kuchaguliwa na Regia ni wa kuteuliwa ! Sasa yupi alikuwa na watu !? Hivi Regia aliwahi kuolewa ? Isije ikawa ....................!

Kuwa Mbunge wa kuchaguliwa ndo mtu wa watu? Too low in thinking capacity. Kama unaona wangwe alikuwa mtu wa watu si uanzishe kitu Kama hiki kwa ajili yake? Hawa walioanzisha ni Rafiki wa Regia si wa wangwe. Vipi ulikataliwa nini?
 
..WHAT IS WRONG WITH YOU?!!. Muanzisha thread ameeleza suala la kuandika Biography ya Regia liliazimiwa na Marafiki wa Regia waliokutana British Council, wewe ni mmoja wa hao Marafiki wa Regia?
Kama wewe sio mmoja wa Marafiki wa Regia, utapungukiwa na nini endapo Biography ya Regia itaandikwa na Marafiki zake?
Marafiki wa Regia, Tunawaunga Mkono, kazi hizi mnazoandaa kumhusu Dada yetu Regia tutazinunua na tutawasimulia watoto wetu, ni nani Regia na Ni nini alifanya kwa Nchi hii Masikini.
Hana historia yeyote huo ndio ukweli, mapenzi na historia ni vitu tofauti ! mie binafsi nakerwa na Regia kufanywa ''Cocacola'' !
 
Kuwa Mbunge wa kuchaguliwa ndo mtu wa watu? Too low in thinking capacity. Kama unaona wangwe alikuwa mtu wa watu si uanzishe kitu Kama hiki kwa ajili yake? Hawa walioanzisha ni Rafiki wa Regia si wa wangwe. Vipi ulikataliwa nini?
Ndo maana nimeuliza ''kaolewa!?'' isijekuwa kuna mtu analipa fadhila kwa kubeba bango humu ndani !
 
ninyi hamna mapenzi ya kweli na marehemu, ni uroho wenu wa pesa ndo unaowasukuma, mmemuona marehemu dili eee..2mewashtukia marafiki wanyonyaji!!!
Umeona eeeh !? Hawakunielewa nilipowaambia wamemfanya ''Regia'' ni ''Cocacola''
 
How big discouragement u r doing, we will make this. Tutafanya Na zaidi ya kufanya.
Kufanya ni haki yenu, lakini tunajua mnaongozwa na tamaa na kujipendekeza ! Ukweli utabaki kuwa 'hana historia ya kuandika zaidi ya maisha yake ya shule na mchakato wa kumchagua kuwa mbunge wa kuteuliwa'
 
Hongereni kwa kazi nzuri mnayofanya.

Nawap pole wote wanaoona wivu au kuchukizwa kwa hili linalotakiwa kufanywa. Poleni.
 
ninyi hamna mapenzi ya kweli na marehemu, ni uroho wenu wa pesa ndo unaowasukuma, mmemuona marehemu dili eee..2mewashtukia marafiki wanyonyaji!!!
Wee umechangia bei gani kwani? Maana roho inakufurukuta ile mbaya...
 
Kufanya ni haki yenu, lakini tunajua mnaongozwa na tamaa na kujipendekeza ! Ukweli utabaki kuwa 'hana historia ya kuandika zaidi ya maisha yake ya shule na mchakato wa kumchagua kuwa mbunge wa kuteuliwa'
Sasa kama historia hana, wahashukwa na ni? Yaani chuki imekupofua macho na moyo kwa mpigo, pole weee

Sie wenzio daima mbele kama fundo la msuli...
 
Hongereni kwa kazi nzuri mnayofanya.

Nawap pole wote wanaoona wivu au kuchukizwa kwa hili linalotakiwa kufanywa. Poleni.
Utamuonea wivu vp mtu ambae hana ''award'' wala ''recognition'' ya taasisi yeyote ile, iwe ya ndani au ya nje ! Bora angekuwa Mwenyekiti wa kamati ya Utalii na mali asili, pengine ningejipendekeza anipe ''kitalu''
 
Mkuu,
Kelele zote hizi zinasukumwa na UDINI, hakuna la ziada hapo!!! Pole sana vimba upasuke kitabu kitaandikwa na tutanunua!!! Kama vipi andika ya FAIZAFOXY-RIP in JF:cool2:
 
Uandishi wa Kitabu cha Marehemu Regia Mtema (Biography)

Kamati Teule iliyochaguliwa kuanzisha Taasisi ya Regia Mtema Foundation imedhamiria kufuatilia kuandikwa kwa kitabu cha Marehemu Regia Mtema kufuatia azimio lililoafikiwa katika kikao cha kwanza cha Marafiki wa Regia pale British Council na baadaye kuwekewa uzito katika kikao cha Kamati Teule.

Kamati Teule sasa inapenda kutoa fursa ya kualika mtu au kampuni yeyote ambayo inaweza kuifanya kazi hiyo ya uandishi kwa uharaka, ustadi na ubora wa hali ya juu. Itahitajika kujua mchanganuo wa gharama zote za zoezi zima.

Kazi hii inatarajiwa itahusisha kuweka kumbukumbu ya historia ya Regia, Kazi mbalimbali alizofanya, picha nk. nk.

Kama wewe ni mojawapo wa waandishi wa Biography au unamfahamu yeyote, tafadhali naomba tuwasiliane moja kwa moja kwa PM au kupitia barua pepe sam@danimex.com.

Mzee COMPUNET LTD bado ipo?Anyway nimeku PM kwa maoni yangu
 
Back
Top Bottom