Don kama Don, fanya kitu roho yako inapenda kazi zenyewe za uticha hazilipi wala usijutie na mtu yeyote kamwe asikurudishe nyuma kwa propaganda za kukuita chizi haya maisha yana mambo mengi baadhi yanafurahisha na mengine yanahuzunisha , yeye ambaye sio chizi amefanya nini cha maana kwenye hii dunia.Run for ur own dream Mungu aliyekuleta hapa duniani anayo makusudi yake keep it up