BIOGRAPH ya Don Nalimison katika Picha.

BIOGRAPH ya Don Nalimison katika Picha.

Gharama itategemea na waandaaji. Kama nikiandaa mwenyewe kiingilio ni ni wewe na MKE WAKO au na mchumba wako kwa kuja na kununua CD na Vitabu vya Don Nalimison
Ukialikwa kuja ku perform. Kiasi gani kiandaliwe?!!!!
 
Nasikia uliwahi kupata ajali ikakuvuruga ubongo sasa sijui haya unayoyanya ni mwendelezo wa ile ajali au tatizo jipya
 
Serikali inabidi utuombe msamaha waTz kwa kumfunga mtu kama huyu, Inamaana inapofunga haiangalii mental status ya mtu. Na kama kaacha kazi serikali iangalie kama maamuzi ya yamefanyika kukiwa na utimamu wa akili. Hapo delusion of grandeur inaonekana waziwazi. Magonjwa akili yapo na siyo kitu cha kuchekesha wala kuonea victims. Nashauri kesi ya huyu jamaa na kuacha kwake kazi vipitiwe upya vikihusisha wataalam wa afya ya akili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom