BIOGRAPH ya Don Nalimison katika Picha.

Serikali inabidi utuombe msamaha waTz kwa kumfunga mtu kama huyu, Inamaana inapofunga haiangalii mental status ya mtu. Na kama kaacha kazi serikali iangalie kama maamuzi ya yamefanyika kukiwa na utimamu wa akili. Hapo delusion of grandeur inaonekana waziwazi. Magonjwa akili yapo na siyo kitu cha kuchekesha wala kuonea victims. Nashauri kesi ya huyu jamaa na kuacha kwake kazi vipitiwe upya vikihusisha wataalam wa afya ya akili.

Sawa. Ujumbe watafanyia kazi Serikali gandamizi.
 
faida za kuwa Genius hizi simshangai,

Ila umepewa ustaarabu unajibu mtu vizuri ata kama ametukana, Pongezi sana DON wa nyagezi
 
Jf tuna matajiri wawili tu..
  1. Kiduku lilo
  2. Don Nalimison (Jack of all trade )
Don Nalimison A former teacher,Musician,politician, Human Rights Defendant,Comedian and other blah blah blah... Kiduku ajipange soon atakua #1

Kama sikosei kuna post nliona kiduku anasema anakaa tabata hakai masaki na anatafuta a average low key woman awe mke na sio tena wale high profiled rich independent woman aliokuwa anawadate na kuwanunulia high end designer cloth...kiduku lilo is definately #2.
 
Don I salute you
Sorry for misunderstanding,
you will have definitely made a very good and interesting teacher to listen to and learn from if you were living in ....
Samahani huku nyumbani hawatakuelewa lakini kumbuka "vita mbele"
 
Don I salute you
Sorry for misunderstanding,
you will have definitely made a very good and interesting teacher to listen to and learn from if you were living in ....
Samahani huku nyumbani hawatakuelewa lakini kumbuka "vita mbele"

Uko sawa lakini mzikii wangu sio wa kuishia TZ naangalia level za Kimataifa zaidi.
 
Back
Top Bottom