Binti...........

Yaani shwarii hamna shariii, Mi na mabinti dam dam, kweeliii? Sabab ziko wazi mwenye macho aoneee eeee

Wako mabinti wa kila namna, wenye sauti kama ya kipipi, sjui nitampata wapi?
Wengine wana macho kama Husninyo, yamelegea bila mvinyo
Ungependa kuliona paja la Lizzy? si utapagawa utakuwa crazy?
Labda ungealikwa na cantalisia na kabakabana, wako real hamna mchina
Usiombe kukutana na Afro mwanawe denzi, mtoto tajiri wa mapozi
Na huyu ana hazina kushinda mgodi, nyuma yuko kamili wezele ni sweetlady
Bado hapo sijataja mwali, yuko mia kila mahali, kumpatia gari wala haitojali.

Verse namba 2 itaendelea nikipata sponsor
 
hahahaha...good twenzetu kwa pancho tukachukue bit...
 
Lawyer I believe you agree with the fact that mabinti run the world.....right?? Ndo maana watoa sifa tu na wengine hata hujui pa kuwapata! Endelea na mistari tu, mabinti wapo tayari kukusponsor!
 
Wewe sikuwezi......

Itabidi hili jamvi tulikimbie.....

Kwa matumizi haya ya keyboards....huwezi kumwimbia binti yako mashairi kweli??

Mubarikiwe nyote!

Babu DC!!
 
hehehe mabinti tayari wamejitokeza kuni sponsor msome kipipi hapa chini

Lawyer I believe you agree with the fact that mabinti run the world.....right?? Ndo maana watoa sifa tu na wengine hata hujui pa kuwapata! Endelea na mistari tu, mabinti wapo tayari kukusponsor!
Yep I do love mabinti, wao ni mauwa ya dunia hii na inabidi tuyatunze na kuyathamini.

Wewe sikuwezi......

Itabidi hili jamvi tulikimbie.....

Kwa matumizi haya ya keyboards....huwezi kumwimbia binti yako mashairi kweli??

Mubarikiwe nyote!

Babu DC!!
hahaha mstaafu bana! weka chorus basi
 
Yaani shwarii hamna shariii, Mi na mabinti dam dam, kweeliii? Sabab ziko wazi mwenye macho aoneee eeee

Wako mabinti wa kila namna, wenye sauti kama ya kipipi, sjui nitampata wapi?
Wengine wana macho kama Husninyo, yamelegea bila mvinyo
Ungependa kuliona paja la Lizzy? si utapagawa utakuwa crazy?
Labda ungealikwa na cantalisia na kabakabana, wako real hamna mchina
Usiombe kukutana na Afro mwanawe denzi, mtoto tajiri wa mapozi
Na huyu ana hazina kushinda mgodi, nyuma yuko kamili wezele ni sweetlady
Bado hapo sijataja mwali, yuko mia kila mahali, kumpatia gari wala haitojali.

Verse namba 2 itaendelea nikipata sponsor

hahahaha! Jamani kloro sio mzima.
 
Ruhusa kama hizi guarantee bibi hatoi

Basi imekula kwangu......

Hivi unaweza kwenda kwa mdau wako (mwenzi) na kumuomba ruhusa ya kufanya majaribio ya kujikumbusha zoezi la AshaDii na ikiwezekana kujinoa ili kurudisha makali??

Babu DC!!!
 
hahahaha! Jamani kloro sio mzima.

Mzima wewe Hus,

Leo babu yuko njia panda,

Anataka kwenda kuomba ruhusa kwa bibi akawatungie wajukuu mashairi....kwanza, unamshauri aombe ruhusa? Na chance ya kupewa ruhusa ipo? If yes, kwa asilimia ngapi?

Babu DC!!
 
Basi imekula kwangu......

Hivi unaweza kwenda kwa mdau wako (mwenzi) na kumuomba ruhusa ya kufanya majaribio ya kujikumbusha zoezi la AshaDii na ikiwezekana kujinoa ili kurudisha makali??

Babu DC!!!

Nazani kabla ya kuomba hiyo ruhusa ni vizuri ukatafta lawyer wa rahisi wa kuprocess divorce in advance
 
Mzima wewe Hus,

Leo babu yuko njia panda,

Anataka kwenda kuomba ruhusa kwa bibi akawatungie wajukuu mashairi....kwanza, unamshauri aombe ruhusa? Na chance ya kupewa ruhusa ipo? If yes, kwa asilimia ngapi?

Babu DC!!

shkamoo babu! Kwanza hayo mashairi unaenda kuwatungia wapi, muda gani na wapo wajukuu wangapi na wenye umri gani? Chance ya kupewa ruhusa itategemea na majibu ya hayo maswali.
 
watakua wameoka visenti vyangu vya internet.
Halaf tupo cafe moja apa, mi nakuchora tu unavomPM judgement Lol.
Kipipi lazima akikuja alfajiri auwe, yaani sredi lake tunalichakachua tena kwa lugha ya taifa? angalau tungelichakachua kwa kiingredha
 
mme wangu judge amelala, kuna chizi fresh mmoja ndio nampm hapa. Lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom