Binti...........

Binti...........

Asante!
Mbona wamuonea hivyo mwenzio....mpangie tu ratiba!
Alafu, una uhakika kuwa hana simu yenye intertnet?? ( isijekuwa keshakuwahi oooh hoo)


hahahahh..... Simu Under 11? No Way!!! Labda kama Finest kamnunulia... He has a soft spot for my binti :wink2:
 
Niko kwenye process (Navizia kabinti ka AshaDii) soma taratibu hapa asione...

dah........we mjanja!!
Lakini kumbuka, chelewa chelewaa.............(mume wake ashadii anakoa kwenzi huyooo!!!! hadi vibabu....shauri yako)
 
dah........we mjanja!!
Lakini kumbuka, chelewa chelewaa.............(mume wake ashadii anakoa kwenzi huyooo!!!! hadi vibabu....shauri yako)
Hahahahaha!!! Sasa itabidi unipe mbinu mbadala aisee maana mie nimenyoa upara jana tu...lol
 
hahahahh..... Simu Under 11? No Way!!! Labda kama Finest kamnunulia... He has a soft spot for my binti :wink2:

Huna ujanja.....dot com hata ya kwako anavuta!! We mzuie tu halafu ujisahau kwenye mawaidha...atajilipa lol!!

I can see...! Dah.......(hapa namezea)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom