Binti........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti...........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ave Ave Maria, Mar 21, 2012.

 1. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Binti amka acha huzunika,
  Binti amka acha sikitika,
  Binti amka jikaze anza mwendo,
  Binti u mrembo na bado wang`araaaa!!!!

  Kama uko shule.... kitabuni juhudi ongeza,
  Kama mwajiriwa hakikisha cheo umepanda,
  Kama biashara ongea vizuri na wateja,
  Kamwe usikubali mtu akukatishe tamaa!

  Unadiriki kusema huwezi ishi bila yeye,
  Miaka iliyopita hukumjua ni nani yeye,
  Mbona uliishi na umekuwa mkubwa sasa,
  Iweje akuzuge ili maisha yakuchanganye???? Wewee...(am warning you)

  Binti mara siku zote ni shujaa,
  Kila ufanyalo maishani utafanikiwa....(yeah..penye nia pana njia)
  Achana na majungu usisikie wasemayo,
  Piga moyo konde mwisho wa safari utafika....(kuwa na subira...one day yes!)

  *** MAISHA HAYATAKI PAPARA, TULIA UJUE NINI CHA KUFANYA...NA NINI CHA KUACHA***

  Dedication to all ladies out there......especially MABINTI.

  ......be strong....be happy!!

  Kipipi
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Thanks:decision::thinking::lock1:
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ahsante kakondooo. . . FINALLY!!
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Karibu sana LD!
  Can you say something in addition?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Asante - source Lizzy.

  Una bahati, ungeandika jana, mashairi nilikuwa nayo.
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwani wewe binti....au umeacha kutumia carolaiti..
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hahahahah......ubarikiwe mama mchungaji!!!
  Hapo bold hapo...kakondoo kalijua tu tangu awali..lolzzz!!!

  :focus:
  A strong woman can make it bana!!
  Kuishi kwa uoga, utegezi na mazoea na pengine kujiendekeza kunawafanya mabinti wengi kukatisha safari zao kimaisha, na kubaki kutoa sifa kwa wenzao tu!
  Am telling them..."GO..DO IT..."
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Konnie ile biashara yetu vipi?
  Wanawake tukiwezeshana tunweza ujue. . . . . !
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Usisome peke yako.... mpe na huyo binti jirani yako!!

  heheh......kwa hiyo jana ungenipiku au ungeniongezea mengine??
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaha kakondoo kanamjua vizuri mama mchungaji kweli.
  Yani nimesubiria weeeee. . . .and i'm glad I did.

  Vipi bibi yako ashasema anaionaje miaka 50 ya uhuru?Lolz
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Huna kabinti weye??
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kakondoo acha tu hata kabinti kakusingiziwa sina...lol
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Yeah!!
  Hata kama ni kidogo kidogo.....
  Tugawane maujuzi, tugawane utajiri, tupeane maakili...alafu tuambukizane JUHUDI!!
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Thats why nikatoa dedication.......nikamjumuisha na mama mchungaji!!(subiria na ya best maridadi)

  Bibi kasema anajivunia kuwa na mimi mjukuu wake....hiyo 50 ya ****** haitambui!
  Kanituma nije kuwaambia mabinti hayo maneno, kuwa wao ni mashujaa!!
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  God! I Missed you......

  :focus:


  Kipipi nice one..... Naahidi kua naprint kumpa binti yangu ambae nimempa ban ya kutumia internet! lol
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Polee!!
  Kwa hiyo akipatikana wa kukusingizia..utafurahi?? ( sio mbaya hata ukiamua kijisingizia we mwenyewe kuwa ni binti....lol!! ...just kidding..)
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Niko kwenye process (Navizia kabinti ka AshaDii) soma taratibu hapa asione...
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Asante!
  Mbona wamuonea hivyo mwenzio....mpangie tu ratiba!
  Alafu, una uhakika kuwa hana simu yenye intertnet?? ( isijekuwa keshakuwahi oooh hoo)
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Naomba mie nikusingizie kabinti kangu.....
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Swahiba hii inabidi tukaandikishane kabisa kwenye Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya ili Nitty asisogee
   
Loading...