Binti...........

shkamoo babu! Kwanza hayo mashairi unaenda kuwatungia wapi, muda gani na wapo wajukuu wangapi na wenye umri gani? Chance ya kupewa ruhusa itategemea na majibu ya hayo maswali.


Wajukuuu si ni hawa hawa akina Hus, Kipipi na n.k, n.k

Kwani umri wa mjukuu ni tatizo?

Bibi si anajua tu kwamba, kwa idhini ya mila za Mababu na Bibi, ni lazima Babu acheze na wajukuu?

Sasa unadhani ruhusa atatoa? If not, lile zoezi pendwa la AshaDii watalifanya akina nani??

Babu DC!!
 
Wajukuuu si ni hawa hawa akina Hus, Kipipi na n.k, n.k

Kwani umri wa mjukuu ni tatizo?

Bibi si anajua tu kwamba, kwa idhini ya mila za Mababu na Bibi, ni lazima Babu acheze na wajukuu?

Sasa unadhani ruhusa atatoa? If not, lile zoezi pendwa la AshaDii watalifanya akina nani??

Babu DC!!

mmmh! Wajukuu kama ni husninyo na kipipi bibi atakubali. Wakiongezeka kina golden mpoleee bibi lazima atataka akusindikize au akatae kabisa usije
 
Kumbe uko fiti kwenye tungo eee. Hongera sana
Binti amka acha huzunika,
Binti amka acha sikitika,
Binti amka jikaze anza mwendo,
Binti u mrembo na bado wang`araaaa!!!!

Kama uko shule.... kitabuni juhudi ongeza,
Kama mwajiriwa hakikisha cheo umepanda,
Kama biashara ongea vizuri na wateja,
Kamwe usikubali mtu akukatishe tamaa!

Unadiriki kusema huwezi ishi bila yeye,
Miaka iliyopita hukumjua ni nani yeye,
Mbona uliishi na umekuwa mkubwa sasa,
Iweje akuzuge ili maisha yakuchanganye???? Wewee...(am warning you)

Binti mara siku zote ni shujaa,
Kila ufanyalo maishani utafanikiwa....(yeah..penye nia pana njia)
Achana na majungu usisikie wasemayo,
Piga moyo konde mwisho wa safari utafika....(kuwa na subira...one day yes!)

*** MAISHA HAYATAKI PAPARA, TULIA UJUE NINI CHA KUFANYA...NA NINI CHA KUACHA***

Dedication to all ladies out there......especially MABINTI.

......be strong....be happy!!

Kipipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom