Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,062
Shida anazipataje?
Nawashangaa watu mnachokonoa maisha ya watu badala ya nyie kutafuta hela muwasomeshe watoto wenu shule za bei gali!!
Shida anazipataje?
Huo niwivu tu,nawewe kama unahela kamsomeshe wakwako hata kwa dola mil10 hakuna atakae kuzuia,kama huna mpeleke mwanao shule za kata kila ndege anaruka kwa ubawa wake.
Nawashangaa watu mnachokonoa maisha ya watu badala ya nyie kutafuta hela muwasomeshe watoto wenu shule za bei gali!!
Very guuud
Atakuwa anapata elimu nzuri aje kusadia TAIFA LAKE TAnzania
Mpendwa ni nani alokwambia huyo mtoto ni mtanzania??:sleepy:
rostam ni nchi gani??
Nafikiri kuna wafuasi wa rostam wanamjibia humu 7bu tatizo lipo tena kubwa hii pesa aloiba ingejenga shule bariadi,kibaha, tunduru, hai na kwengineko 7bu watu wanachojadili kw hy jamaa ni jizi na linatumia pesa ya wizi kwa cfa wakati alowaibia wanachangishwa kujenga shule za kata na ni mackini
No wonder kuna Mdosi mmoja alishawahi kusema kuwa "Swahili jinga kabisa... Nakula pesa yae yenyewe nacheka tu" hivi kweli how do you get aand spend all these money? Hatuna shida na shule ya huyu binti hapa najaribu kuwapa picha ni jinsi gani mtu haoni uchungu kuspend hela za bureee bila hata huruma.........sasa huyo binti ana kosa gani? Mwache asome kwa raha zake.
Kama hujuwi kinachoendelea ktk nchi ya majuha ndio unaweza kucomment kama hivi. Juzi jijini hapahapa huyo unayemwona kwamba ni sahihi kutumia TAS 300,000,000 kwa mwaka kwa ajili ya school fees ya o level ana kakampuni kake kamoja kalikuwa kanadaiwa kodi TAS 70,000,000 amegoma kulipa jamaa wa TRA walipokomaa ikulu ikamkingia kifua na kodi haikulipwa. So wanao uwezo wa kulipa mil 300 kama school fees lakini hawataki kulipa kodi ya mil 70. Huu ni wizi tu hakuna lugha nyingine. Wakitaka walipe hata 1 bil school fees lakini kodi yetu watulipe jamani kutuibia mtuibie na kodi nayo msilipe? Shame on you!
Katika shule hiyo amesajiliwa kama ni raia wa Iran but is from Dar es Salaam.Mpendwa ni nani alokwambia huyo mtoto ni mtanzania??:sleepy:
Kama ni kweli inavyo onyesha kwenye hiyo shule, sasa jamani huyo mjamaa ana fedha kiasi gani?????????????
Binti wa Rostam Aziz
Ama kweli ukila na kipofu usimshike mkono, fisadi namba moja nchini kwa kweli anafaida sana hela zetu walala hoi maana binti yake anasoma shule moja binafsi na ghali sana huko Swiss amabapo ada yake kwa mwaka ni dola 200,000 na yupo O-level hebu fikiria kwa miaka minne RA atatumi kama dola 1m ghama jumla ya gharama ya kusomesha binti yake huyo. Shule yenyewe inaitwa Lo Rosey ni miongoni mwa shule ghali duniani na hata ukiangali kwenye mtandao wa Forbes shule ghali sana kwa amerika wanalipa around 50,000-80,000US$ kwa mwaka sasa hiii ya Swiss ni mara tatu yake kweli fedha ya ufisadi ni tamu sana....
Timu nzima ni ya wezi tu, hukuna cha ikulu wala nini, maana walitakiwa kuwa huyu jamaa halipagi kodi. Marekani swala la kodi ni kupelekwa jela tuu hata lkama ni nani. Ndio maana tunakazania katiba mpya haitakuwa na misamaa ya kodi!!!!!!!!Kama hujuwi kinachoendelea ktk nchi ya majuha ndio unaweza kucomment kama hivi. Juzi jijini hapahapa huyo unayemwona kwamba ni sahihi kutumia TAS 300,000,000 kwa mwaka kwa ajili ya school fees ya o level ana kakampuni kake kamoja kalikuwa kanadaiwa kodi TAS 70,000,000 amegoma kulipa jamaa wa TRA walipokomaa ikulu ikamkingia kifua na kodi haikulipwa. So wanao uwezo wa kulipa mil 300 kama school fees lakini hawataki kulipa kodi ya mil 70. Huu ni wizi tu hakuna lugha nyingine. Wakitaka walipe hata 1 bil school fees lakini kodi yetu watulipe jamani kutuibia mtuibie na kodi nayo msilipe? Shame on you!
Issue ni image ya chama.Hapa ishu ni nini?