Binti wa namna hii unamfanyaje?

Kwanza kabisa hongera kwa kupata binti anaejielewa.

Pili pole sana kwa kuwa mpenzi mtazamaji

Ova
 
Jamaa itakuwa Kaungua sijui[emoji1787][emoji1787] anataka amuue mtoto wa watu kisa vihela alivyompaaa...
Ama ni yeye jamaa hajiamin, haiwezkan Ashindwe kupima Afya kukosa anachotaka..
MiMi nlishawahi kudate na nurse wa hospital, tulivyokutana hata kabla ya french kiss alkuja na HIV test na tukapima wote afta while majibu yaltoka Vzur akaruhusu mechi ichezeke ingawa na Kinga ili kuzuia magonjwa mengine yanayosababshwa na kujamiiana.
 
Pimeni mkuu then kula ku@ma kiusitadi zaidi halafu anza kulinga na wewe sasa maana tayari umeshapata kile ulichokuwa unahitaji toka kwake.
 
Mkuu anachoona ni kwamba akitimiza sharti la kupima basi Manzi ndio ataona jamaa ni wa kufuata command zake so baada ya hapo mengine yatayofuata itakuwa manzi ndio dereva.. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Ila mkuu kubali tu uumie ili lengo lako litimie. otherwise piga chini mademu bado wengi
 
unafel wap mkuu , shida c kupima ty na unajiamin , kapimee ulee mzigoo hlf pigaa chinii
 
sio kwamba naogopa,ila naona binti anataka control kwamba kila atakacho yeye nifanye
 
Wewe fala kabisaa
Huyu binti anaejielewa anafanana na demu wangu. Hakuna kuamini maneno tu .... taadhari lazima ichukuliwe kwa gharama yoyote ile ata Kama Ni kumpoteza umpendae.

Watu wamekufa kizembe Sana kwa Kuendekeza nyege
 
Mi nakuita wewe BOYA
Umeogopa kwenda kupima na keshakurahisishia?!
Anajitambua huyo mwanamke, atakuona wewe ndio hujielewi. Sasa unaomba ushauri wa nini kisa kutoa hivyo vihela mkuu?
 
Jamaa bwege sana una Mambo ya kilofa sana

Sasa Kama demu ana ngoma hataki kukupa we ulazimisha ukipata utamlaumu Nani[emoji15]

Watu Kama nyie mnakera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…