KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Salma ana mtoto mkubwa hivi..?...mashaallah.....
Smily Riz1 na huyu binti daktari sio watoto wa Salma mama yao ni mwingine,Salma watoto wake ni wadogo sijui kama umewaona vivulana flani huwa wanatokea kwenye picha mara moja moja kama miaka kumi na kitu hata 16 sidhani wamefika.
Una maana si mzuri, au hana akili, au .......!
Amekudanganya nani? Huyo demu anaitwa Salama ni Dr by professional. Amezalishwa na muuza unga mkubwa jamaa wa kichaga kama sijasahau. Jamaa akabadili dini ili achukue jumla mkulu akagoma.
Binti mkubwa wa mkuu ni Daktari Salima na sio mtoto wa Salma, Huyu mama yake ni yupi?
mamake ni hawa gasia, yule waziri
Siyo ufuasi wa ccm tu Jaluo, unatakiwa vile vile uwe wa SWALA TANO. Kama huna kanzu nikuazime
Labda unamaanisha hawa ni mamake mdogo,kwani ninavyojua hawa na mama salma kikwete ni wandugu!
Kumbe ana watoto wa kike wakubwa kabisa wanao fanana na yule binti wa Zakhia Meghj.
Siyo ufuasi wa ccm tu Jaluo, unatakiwa vile vile uwe wa SWALA TANO. Kama huna kanzu nikuazime
swala tano wapi wewe mbona JK na Ridhiwani wake hawaswali swala tano, msikitini mpaka siku ya IDD!!usimtishe mwenzio acha ajaribu!
Siyo ufuasi wa ccm tu Jaluo, unatakiwa vile vile uwe wa SWALA TANO. Kama huna kanzu nikuazime