Binti wa Mkuu wa kaya

Binti wa Mkuu wa kaya

dah kitu cha kweli. aendelee kuwa undercover hivyo hivyo
 
Kweli jamani, pamoja na kwamba kamezaliwa kwa prezidaa mbovu, lakini ka binti ni kazuri.
 
She has a fresh young innocent looking face
 
Kwa hisani ya michuzi naomba kuweka picha ya binti wa mkuu wa kaya yetu. Kwa kweli nimempenda ila sijapata jina na contacts

zake jamani. . Sijajua mkuu alikuwa anasema nini hapo
d10.jpg

ndio huyu alichezwa ngoma mwaka uleeee kule bagamoyo?
 
Smily Riz1 na huyu binti daktari sio watoto wa Salma mama yao ni mwingine,Salma watoto wake ni wadogo sijui kama umewaona vivulana flani huwa wanatokea kwenye picha mara moja moja kama miaka kumi na kitu hata 16 sidhani wamefika.
Huyu binti mbona anaonekana bado ni teenager?
 
Back
Top Bottom