Binti wa Mkuu wa kaya

Binti wa Mkuu wa kaya

Smily Riz1 na huyu binti daktari sio watoto wa Salma mama yao ni mwingine,Salma watoto wake ni wadogo sijui kama umewaona vivulana flani huwa wanatokea kwenye picha mara moja moja kama miaka kumi na kitu hata 16 sidhani wamefika.

Ohhhh!!! Mimi sikujua,...naona kama anafanana kweli na Salma Kikwete...au mdogo wake Salma???!!! Asante kwa taarifa.
 
familia bora, mboga nane lazima mwili upendeze kwa kweli.
 
Wadau je kuna mtoto mwingine anaitwa Miraji Kikwete,vp nae ni mama m1 na riz1 na Dr.Salma?
 
d10.jpg
mabinti wa museveni je???
The-First-babes-Musevenis-gals-also-showed-up-in-style.jpg
 
Jamani jamani jamani haluuuuuu!!!!!!!.Hivi ile sauti kama unakunywa mchudhi wa moto unaandikaje?hiyo ndo sauti iliyonitoka ghafla.
 
Mbona ye hatumfahamu sana kama Riz1.Namshauri atafute nafasi uvccm ili nayeye awe anauza kama Braza!!
 
siamini hako katoto ndio watu mnakatolea udenda.....mnh cant you see she isnt even 16?....greti thinkaz acheni ukware!
 
Nimekapenda, naomba kawe hakajarithi head ya father...
 
FF HAPO UMECHEMKA BABAKE NI KICHWA cha nn labda uweke wazi
lau kama ni uchumi alisema hajui kwann tanzania ni maskini,rasilimali kaachia zote tumebakiwa na mashimo.
uchumi umeyumba shilingi imeanguka, umeme hakuna ajira hakuna, anawachekea mafisadi na kuwakumbatia mawaziri wazembe na wezi
sasa kichwa gani labda kichwa cha kusafiri
huwa naamini mtu kama ww hustahili kuishi Tanzania huna uchungu na nchi yako
kwa uzuri yessss binti mzuri kana hadhi.

MashaAllah, halafu anaonesha ni kichwa kama baba'ke.
 
mabinti wa museveni je???
The-First-babes-Musevenis-gals-also-showed-up-in-style.jpg

baba kwa museveni usibonyeze ni balaaa yani ni nnnoumer wa baba mwenye nyumba hana ishu kabisa ni kwasababu anakaa kwenye kiyoyozi tu huyo...! unajua kuna watoto wa ukweli uko buguruni malapa uko...! uko bungoni nilikua mitaa ya huko juzi kati...! waaaacha bwana wakikaa kwenye kiyoyozi..! nakwambia hata wa museveni hawaoni ndani apo...! kana kua kazuri coz dingi ni niniiiii ila kama kangekua kapo huku kitaani kwetu mbagala yani mbona kangekua hakana ishu..! mwana kitaa kuna watoto buwanaaaaaa..!
 
Back
Top Bottom