Binti wa Mkuu wa kaya

Binti wa Mkuu wa kaya

Salma ana mtoto mkubwa hivi..?...mashaallah.....

eeeh!maendeleo wajameni hata wachagga wanajua mashallah na jinsi ya kuitamka tena kwa lafudhi ya kiarabu kabisa!safi sana kujichanganya na "watu wa kasa" ndio faida yake hii!
 
Smily Riz1 na huyu binti daktari sio watoto wa Salma mama yao ni mwingine,Salma watoto wake ni wadogo sijui kama umewaona vivulana flani huwa wanatokea kwenye picha mara moja moja kama miaka kumi na kitu hata 16 sidhani wamefika.

Nawew unachanganya taarifa,huyu sio Salama! huyu ni binti mdogo wa jk,salama ndio dk. na ndie aliechezwa ngoma,huyu ni mtoto wa kwanza mama Rashidi "Chodo" a.k.a.mama salma kikwete,wadogo zake ndio hao kina Rashidi Chodo na Ally ambao umewaita vivulana!Ridhi na salama mama yao alishafariki long time.

Habari ndio hiyo,jk namjua toka magomeni mapipa,"hatukukutana barabarani".
 
Msijaji sura jaji lililopo moyoni mwake ana roho ngum na mbaya kama baba yake au?
 
Amekudanganya nani? Huyo demu anaitwa Salama ni Dr by professional. Amezalishwa na muuza unga mkubwa jamaa wa kichaga kama sijasahau. Jamaa akabadili dini ili achukue jumla mkulu akagoma.

Upotoshaji jazz band......!sio kweli huo ni uongo,huyo sio salama na wala salama hajaolewa na mchagga wala muuza unga ila ni "mpigaji",ni mtoto wa mkuu wa majeshi mstaafu ambae ni mtu wa mara,ila ni kweli alibadili dini lakini sio kwa ajili ya salama,aliugua sana akachanganyikiwa huko nyuma kabla hata jk hajatinga ikulu,alikua kama kichaa ndio katika kuhangaika akakutana na sheikh mmoja wa bakwata jina nalihifadhi,akamsaidia akapona ndio akaamua kubadili dini na kuwa muislam wa kweli kwa maana anasali swala tano(jk haswali),Jamaa alikua akiitwa Albert Marwa!!!!!
 
Siyo ufuasi wa ccm tu Jaluo, unatakiwa vile vile uwe wa SWALA TANO. Kama huna kanzu nikuazime

swala tano wapi wewe mbona JK na Ridhiwani wake hawaswali swala tano, msikitini mpaka siku ya IDD!!usimtishe mwenzio acha ajaribu!
 
Mwaizi ni mwizi tu! Angalia mzee alvivyotoa mach kwa kudhani kuwa ataibiwa!
 
Siyo ufuasi wa ccm tu Jaluo, unatakiwa vile vile uwe wa SWALA TANO. Kama huna kanzu nikuazime

ndugu yangu we! Nitauza mali zote ili mradi nipate pesa ya kanzu. Mambo ya kuniazima halafu baadaye ujifanye unakuja kusalimia mara kwa mara mi staki kabisaaa!
 
swala tano wapi wewe mbona JK na Ridhiwani wake hawaswali swala tano, msikitini mpaka siku ya IDD!!usimtishe mwenzio acha ajaribu!

hili nalo neno. Mkuu wacha nijaribu bahati yangu. Kama ni mwanachama wa jamvi naomba ani-PM.....LOL!
 
Katoto inaonekana siyo kazuri tu bali hata kwenye 6x6 lazima katakuwa na radha nzuri sana. Ni bahati mbaya tu kamezaliwa na Dr. Dr. Dr. (heshima) mkwerre.
 
Nenda clinic ya meno pale muhimbili utamkuta na hatakuhudumia ni Dr. Mzuri sana.
Mimi alishanihudumia.
 
Back
Top Bottom