enzi za mwl. ikulu ilikuwa kama nyumba nyingine tu, tena wengine walipazidi. Fedha nyingi zilielekezwa kwenye miradi ya kuinua watu. Leo mambo yamebadilika, IKULU ni sehemu ya anasa, hata kama utakuwa na uglyface, baada ya mda kidogo utakuwa safi na mvuto fulani unaoletwa na ishara ya kuridhika tu. usijifanye hujui haya
...Binti mkubwa wa mkuu ni Daktari Salima na sio mtoto wa Salma, Huyu mama yake ni yupi?
Siyo ufuasi wa ccm tu Jaluo, unatakiwa vile vile uwe wa SWALA TANO. Kama huna kanzu nikuazimeKuanzia leo nakuwa mfuasi wa ccm rasmi. bila kuwa karibu na wakuu wa chama huwezi kumsogelea huyu mtoto.
Kaka unataka kula bingo nini ,haya bana nakutakia kila la kheriKwa hisani ya michuzi naomba kuweka picha ya binti wa mkuu wa kaya yetu. Kwa kweli nimempenda ila sijapata jina na contacts zake jamani. . Sijajua mkuu alikuwa anasema nini hapo![]()
Du hii ndio JF dare for moreHuyo cha mdoli anakifaa kipo pale laurate international school zanzibar,alicheza rafu enzi zake na dada flani,utadhani wamepiga copy na mkuu,ila ni mkali kuliko huyu,tembeleeni pale chukwani zanzibar
Hehe watu wachokozi jamani loh mbavu zangu wee zinauma...Mkuu kama huijui hiyo familia kaa kimya.. huyo ni Binti wa Salma Kikwete....na yule dakatari wa meno anaitwa Salama .... ni Kwa Mke wake wa Kwanza..Salma ana mtoto mmoja tu wa Kike...chek chuma hiko mixer ****** na mmakonde..yaani Ufundi mtupu hapo
heh kwani kaka Ikulu ya Mwalimu Nyerere ilikuwaje ?au ndio ilikuwa ile ya kula mayao hakuna kula kwa "anasa"kama sasaHivi nyie vipi? Ukae Ikulu ya sasa (sio ya Mwalimu) halafu usiwe mrembo?
Siyo ufuasi wa ccm tu Jaluo, unatakiwa vile vile uwe wa SWALA TANO. Kama huna kanzu nikuazime
Naona Mwana mfalme anaomba angekuwa na uwezo angerudi kwenye ujanaKwa hisani ya michuzi naomba kuweka picha ya binti wa mkuu wa kaya yetu. Kwa kweli nimempenda ila sijapata jina na contacts
zake jamani. . Sijajua mkuu alikuwa anasema nini hapo![]()
Nasikia kako FEZA girls f3
...
Mkuu kama huijui hiyo familia kaa kimya.. huyo ni Binti wa Salma Kikwete....na yule dakatari wa meno anaitwa Salama .... ni Kwa Mke wake wa Kwanza..Salma ana mtoto mmoja tu wa Kike...chek chuma hiko mixer ****** na mmakonde..yaani Ufundi mtupu hapo
Naomba BAKWATA watolee tamko mbona hajavaa baibui? Inamaa huyu binti dini tofauti na baba yake na mama yake?