Binti wa kinyalu akanishupalia vilivyo

Binti wa kinyalu akanishupalia vilivyo

Mkuu una majanga!!!! Mara binti kichaa wa Kawe, mara huyu Mnyalu ila katika haya majanga yooote lilionifurahisha ni ulivyopigwa ngwala mara tatu na mwanajeshi pale calabash kwa kumtamani mke wake...hahahaha
 
Miye shemeji yangu huwa napendaga tu kusafisha kiwi cha macho na si zaidi ya hapo kwa kweli

Ndugu yangu kwa jinsi ninavyokujua, huyu binti atakuwa amekosea jina tu lakini utakuwa ni wewe... nakumbuka kipindi hicho ulikuwa hujaacha zile tabia zako za mwananyamala na buguruni
 
hii ni kali na lazima mtu uwe mdogo sasa ndo ungekuwa na mwanao ndani ya daladala sipati picha.
 
Last edited by a moderator:
duuuuuuuuh yaani usingekuwa umebeba vitambulisho sipati picha ingekuwaje
yaani kutembea na kitambulisho ni muhimu sanaaaaaa
 
Mtambuzi majanga yanakupataga weewe tu bana. Yani uwa nakuonea huruma kisha najikuta nacheka tu. Hasa siku ulipokula pesa ya saccos ya kina mama na kile kisa cha ndoa kule ununio
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi nimesisimka kweli sipati picha hofu iliyokupata na mate kukauka mdomoni
Umenikumbusha mwaka 1999 nilifananishwa hivyo hivyo yaani kama sio Mungu kutia mkono wake sijui kama leo ningeijua JF,,
 
du pole sana. hivi ungerudi nyumbani na manundu sijui ungemwambia nini mama ngina.......
 
teh teh ila kaZur
kakipgwa sop
sop ahaa unasahau ka ndio yeye
 
i can imagine ulivyokuwa mdogo kama nukta. mi huwa nafananishwa sana na watu huwa napigiwa simu na watu wameniona sehemu ambazo sipo huwa sielewi sura yangu ina nini.
 
Back
Top Bottom