Binti wa kinyalu akanishupalia vilivyo

Binti wa kinyalu akanishupalia vilivyo

Hako kabinti inawezekana hata dada yake alikauza, maana Julius hajaonekana tena
 
Mkuu Mtambuzi naomba uwe unanitag tafadhali,za masiku sijui ulipotelea wapi.....
 
pole sana Mtambuzi unajua huu mchezo ni maarufu sana uswahilini kwetu, yaani wakikuona mwanamme uko smart lazima wamama wakutafutie kesi hata kama hautafungwa kwa kukosa ushahidi, basi lazima utahama mtaa tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom