Lakini wewe uliepo ulaya una mwambia mzee wako awe na beki 3 huku bongo. Mshahara wake unampa ngapi?Ulaya huwa wasaidizi aka house girl wanaajiliwa na matajiri maana hohe hahe with ordinary life huwezi kumuafford maana ana haki zote kama mwajiriwa mwingine.
Hiyo hela ni ndogo sana kumlipa binadamu mwenzio, naye anahitaji kuwa na future, hapo ni kama unamfanya mtumwa.
angalau mlipe 200k, NSSF mlipie, matibabu, mwisho wa mwaka unampa bonus.
Lakini wewe uliepo ulaya una mwambia mzee wako awe na beki 3 huku bongo. Mshahara wake unampa ngapi?
Umeongea ukweli mtupu kiongozi ila tatizo hii ni bongoUlaya huwa wasaidizi aka house girl wanaajiliwa na matajiri maana hohe hahe with ordinary life huwezi kumuafford maana ana haki zote kama mwajiriwa mwingine.
Hiyo hela ni ndogo sana kumlipa binadamu mwenzio, naye anahitaji kuwa na future, hapo ni kama unamfanya mtumwa.
angalau mlipe 200k, NSSF mlipie, matibabu, mwisho wa mwaka unampa bonus.
Msaidizi wa mama ntilie akiumwa juu yake, pa kulala juu yake na mahitaji mengine yote. 60K kwako ndogo ila kwa mwingine ni kubwa so long ana pakula na kulala.60K si bora akawe msaidizi wa Mama ntilie atalipwa 5K-7K per day.
Utawaweza binadamu na wema wa kuigiza mitandaoni!!.Msaidizi wa mama ntilie akiumwa juu yake, pa kulala juu yake na mahitaji mengine yote. 60K kwako ndogo ila kwa mwingine ni kubwa so long ana pakula na kulala.
Kumbuka huyu binti halipi kodi, hana gharama za chakula, matibabu n.k. Jaribu kuthaminisha hivi vyote, plus hiyo 60k halafu jiulize mshahara ungekuwa kiasi gani.Hizo kazi alitakiwa afanye mke wake,kwa kuwa wote mna majikimu mulnhezeeni huyo binti mtakaye mpata mshahara,angalau 150K-200K.
Huwezi mlipa binadamu mwenzio 60K ,huku wewe ukienda baada kwa siku 1 unatumia zaidi ya hiyo.lasivyo tafuta nduhu akudaidie kazi.
Usitumie lugha ya mtumwa kwa mfanyakazi wa ndani, ingawa analipwa hela ndogo. Lakini amekubaliana na muajiriwa wake kwa huo mshahara. Mfano kama mshahara wa mwalimu na daktari ni midogo sana kwa ajira yao lakini sio watumwa. Mtumwa huwa halipwi mshahara na hufanya kazi kinyume na matakwa yake.Nilishakataza Wazazi wangu kukaa na house girl, baadala yake wanakaa na ndugu zangu ambao nawasomesha.
Halafu mimi sikai Ulaya nakaa zangu Tandika Dar hapa, Kwangu sikai na house girl maana sihitaji kumfanya binadamu mwenzangu mtumwa na kumtumikisha huku sina uwezo wa kumlipa, nilipogundua hili niliachana kabisa na hili jambo.
Siku nikiamua kukaa na binti au mabinti wa watu nitamlipa kima cha chini na haki zake zote.