Yah Ni Kweli Kalamu,,tatizo La Huyu Binti Ni Lugha Aliyotumia Ndio Iliomponza ,,,labda Alikuwa Anataka Kusaidia Walalhoi Ila Njia Aliotumia Naamini Hata Kwa Mwenyezi Amekoseaa,,,ila Jamani Hata Ma Prof Wanajua Haya Matatizo Yapo,,inawezekana Unania Nzuri Kumwelimisha Mtu Ila Jinsi Ya Ku Represent Hilo Ndio Tatizo Amabpo Tunakuja Na Swala La Ufahamu,,,hivyo Kweli Kama Mtoto Tumkanye Na Altambue Hili Huu Sio Ufalme Wa Karume ,,ni Wa Watanzania,,waliopita Chuo Wanajua,,unakuta Mwanafunzi Anakamatwa Na Paper ,,ukimbana Sanaantaja Ka****** Na Mwalimu Fulani,,hapo Ashaona Liwalo Na Liwe,,wengine Mnafumbuka He"""kumbe Wenzetu Kunakupewa Paper ,,kwa Hiyo Kosa La Kukamatwa Linafumbua Watu Macho,,hiyo Hata Kosa La Huyu Binti Tusiache Kumkanya,,ila Tuangalie Hapa Tumefumbuliwa Tatizo Kubwa Ambalo Ni Vigumu Kujua Mtu Mpaka Likupate Na Uingie Pale Kisutu Na Kuona Game Linaloenda,,,pale,,