Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

Mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.

Kama katoto kanafaa kwa chakula mshauri jamaa ampangishie nyumba ale neema za Mwenyezi Mungu...duniani tunapita tu.
 
Jamaa kama unaogopa kwamba labda binti anaweza akajishebedua hadi mama ashtukie baada ya kumkaanga, dawa usipige kwenye mimaji wee mfumue MARINDA tu atakua mdogo kama pilton heshima na adabu!
 
Sio fresh...

Ukishaanza kutembea na mtu nyumba moja na mkeo inakuwa balaa wife atadharaulika

Hii kweli. Na inafikia mahali unafeel guilt kwa unachomfanyia mkeo. Labda kama humpendi ndo utaona okay otherwise sio hekima ni element za ujinga!
 
Mambo vipi jamiiforum members.

Bila shaka nyote mpo pouwaa na wazima sanaa! Nina rafiki yangu ana umri kama miaka 47 hivi tupo naye ofisi moja ijumaa aliyopita alikuwa na kihoja cha mwaka.

Ni kwamba, yeye alifiwa na mkewe kama miaka mitatu iliyopita alikuwa mwanamke wa kihehe kutoka Iringa ila walibahatika kupata watoto wawili wote wa kiume wanasoma primary.

Sasa baada ya kuishi ki-bachelor kwa muda wote huo akaamua kutafuta na kumpata mwanamke mwingine mjane lakini ambaye tayari ana binti mmoja mwenye miaka takribani 23 anayeishi naye.

Sasa huyu rafiki anasema kadri siku zinavyozidi kwenda huyo binti wake wa kufikia anakuwa anabadilika tabia kwa kasi sana.

Mwanzoni alikuwa kila asubuhi lazima binti atoe shikamoo, ila kwa sasa hakuna tena.

Anaweza kumwambia za asubuhi au akaamua kukaa kimya kabisaaa. Wanaweza kuwa wapo kwenye dinning table wanakula, ila mama mwenye nyumba akiinuka kidogo kwenda jikoni kufuata kitu, binti anaweza nyanyua kijiko cha "baba yake" huyo na kuanza kumlisha.

Binti anaweza kuvaa khanga moja tu, kisha akakaa sebuleni anaangalia TV (mpira) na baba yake mama akiwa amelala, kitu ambacho mwanzoni hakuthubutu hata kumsogelea.

Jamaa akiwa ofisini meseji kila wakati za kumjulia eti anaendeleaje na kazi.

Imekuwa too much hata saa ya kulala meseji inakuja "eti baba lala salama"kweli jamani hali hii?

Cha ajabu na kusikitisha kuliko yote, binti sasa anamuuliza eti kwa nini asiwachukue waende weekend moja trip ya Bagamoyo kuliko kukaa tu home anaboreka sana.

Yote hayo ni sehemu ndogo ya mkanda mzima wa vituko vya huyo kwa jamaa.

Mimi binafsi nilichomshauri ni kwamba amvutie tu pumzi na azidi kumvumilia, ila akiona hali inazidi kuwa mbaya achukue MAAMUZI MAGUMU kama liwalo na liwe.

Wadau mnashauri vipi.

Inashangaza mwanaume anashindwa kuwa na maamuzi kwa vitu vidogo km hivo mpk anakuja kuomba ushauri.Ukiona hivo na ye mwenyewe anataka pia.Na we kweli ni A BIG BOX OF NOTHING ndo umemshauri mwenzio ujinga eti achukue maamuzi magumu!!? Kazi IPO.Ke si ya nyani kapeleka kwa ngedere.
 
Last edited by a moderator:

Na wewe ipo siku utakaangwa tu kama huyu binti wa kambo...you better watch out...!!!
 
Last edited by a moderator:
Laana kubwa hii jiepushe nayo. Mwambie mtoto wa kike kuwa wewe ni baba yake japo wa kambo na aonyeshe heshima.
 
We mpelekee moto tu ndugu yangu huyo hapo alipofikia ukiendelea kujifanya kukaza atakuja kukugeuzia kibao na kusema kuwa wewe ndio umetaka mzigo au akupakazie kwamba wewe function less. Ilishanitokea hio kwa pacha wa mke wangu alianza kunizushia kuwa namtongoza, lakini nilipoanza kula mzigo mwenyewe akakanusha kwa watu zile habari kuwa nimemtongoza na sasahivi naendelea kula mtu na pacha mwenzie kilaiiiini na believe me ingawa ni mapacha lakini wana ladha tofautiiiiii. Yanini uizurumu nafsi au ujiwekee mazingira ya kuonekana jongoo hapandi mtungi?
 
sawa sawa mkuu
 
huyo binti ni zaidi ya changu anaanzaje kutamani kuchungulia tamu ya mama ake?
huyo baba nae ni bolizozo makalio yake tamaa za kisengerema wanatia kinyaa tu
 
Mambo vipi jamiiforum members.

Bila shaka nyote mpo pouwaa na wazima sanaa! Nina rafiki yangu ana umri kama miaka 47 hivi tupo naye ofisi moja ijumaa aliyopita alikuwa na kihoja cha mwaka.

Ni kwamba, yeye alifiwa na mkewe kama miaka mitatu iliyopita alikuwa mwanamke wa kihehe kutoka Iringa ila walibahatika kupata watoto wawili wote wa kiume wanasoma primary.

Sasa baada ya kuishi ki-bachelor kwa muda wote huo akaamua kutafuta na kumpata mwanamke mwingine mjane lakini ambaye tayari ana binti mmoja mwenye miaka takribani 23 anayeishi naye.

Sasa huyu rafiki anasema kadri siku zinavyozidi kwenda huyo binti wake wa kufikia anakuwa anabadilika tabia kwa kasi sana.

Mwanzoni alikuwa kila asubuhi lazima binti atoe shikamoo, ila kwa sasa hakuna tena.

Anaweza kumwambia za asubuhi au akaamua kukaa kimya kabisaaa. Wanaweza kuwa wapo kwenye dinning table wanakula, ila mama mwenye nyumba akiinuka kidogo kwenda jikoni kufuata kitu, binti anaweza nyanyua kijiko cha "baba yake" huyo na kuanza kumlisha.

Binti anaweza kuvaa khanga moja tu, kisha akakaa sebuleni anaangalia TV (mpira) na baba yake mama akiwa amelala, kitu ambacho mwanzoni hakuthubutu hata kumsogelea.

Jamaa akiwa ofisini meseji kila wakati za kumjulia eti anaendeleaje na kazi.

Imekuwa too much hata saa ya kulala meseji inakuja "eti baba lala salama"kweli jamani hali hii?

Cha ajabu na kusikitisha kuliko yote, binti sasa anamuuliza eti kwa nini asiwachukue waende weekend moja trip ya Bagamoyo kuliko kukaa tu home anaboreka sana.

Yote hayo ni sehemu ndogo ya mkanda mzima wa vituko vya huyo kwa jamaa.

Mimi binafsi nilichomshauri ni kwamba amvutie tu pumzi na azidi kumvumilia, ila akiona hali inazidi kuwa mbaya achukue MAAMUZI MAGUMU kama liwalo na liwe.

Wadau mnashauri vipi.

Inabidi ampatie anacho hitaji vinginevyo hakawii kumwambia mama yake Baba ana nitaka
 
We mpelekee moto tu ndugu yangu huyo hapo alipofikia ukiendelea kujifanya kukaza atakuja kukugeuzia kibao na kusema kuwa wewe ndio umetaka mzigo au akupakazie kwamba wewe function less. Ilishanitokea hio kwa pacha wa mke wangu alianza kunizushia kuwa namtongoza, lakini nilipoanza kula mzigo mwenyewe akakanusha kwa watu zile habari kuwa nimemtongoza na sasahivi naendelea kula mtu na pacha mwenzie kilaiiiini na believe me ingawa ni mapacha lakini wana ladha tofautiiiiii. Yanini uizurumu nafsi au ujiwekee mazingira ya kuonekana jongoo hapandi mtungi?

teh teh huyo pacha na mie nakulaga mara moja moja nikuja huko?
 
Mkiona tuliokaa bila Wanaume miaka yote mnatutukana. Heri nimwokoe binti yangu na matamanio hayo.
 
Mi ntakuwa position nzuri zaidi kushauri pale jamaa atakapokula bint na kugundua ni mtam kuliko mama... aje kuomba ushauri afanyeje.
Maana anaweza kumuona bint kumbe siku akijaribu anakuta breki ni pumb zake
 
Huyo jamaa hako asiwe ----. Akila huyo binti atamdhalilisha mkewe. Si mnajua muonja asali haonji mara moja? Na matatizomengi yataanzia hapo...
 
Back
Top Bottom