Mpaka kafikia kuomba ushauri wako ni kwamba tayari kishalamba asali anaogopa kuuchonga mzinga tu. Kama bado, apige moyo konde, aitishe kikao cha familia yote, ajitambulishe kwao kuwa yeye ndo Baba Mwenye House.
Kiila aliyeko ndani kwake ni mwanaye, tangu mkewe mpaka wanawe na huyo binti. Asitokee mtu auvuke mpaka wake na kila mtu asimamie zamu yake. Full Stop.
Amvute mkewe kando na kumwonya kuwa asimchukie Binti yake ni kughafilika tu huko, asipofanya hivyo mapema, litamtokea puani binti atakapo mgeuzia kibao kuwa " Kantaka nkamkataa na kumkanya kuwa ntamwambia mamy." Hatoki mtu hapo