Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

wasichana kama hao alipofikia ukimuacha anakugeuzia kibao na atakuharibia ndoa maana atakusema kwa mkeo na kwa watu wengine kwamba umemtaka akakukataa lakini ukimshughulikia atakaa kimyaaa na amani itakuwepo ndani ya nyumba.

Ukimpuliza ndo umeharibu kabisa maana atakua ametimiza lengo, hapo atakuburuza anavyotaka utabaki haha hehe hoho Kuwa mkali huwezi mama atajua wala huwezi Kuwa na maamuzi tena utakua umekwisha binti anatamba mjengoni.
 
mh!! hapana huyo baba akae na mke wake amwambie tabia za huyo bint kabla mambo hayajawa mabaya coz ipo cku bint atasema bb anataka kumbaka ili kumkomoa
ilo nalo linawezekana maana watoto wa skuizi wana visa, ili waonekane kwenye habari ITV tu.....
 
Kwanini huyo jamaa yako asisimame katika nafasi yake ya ''mzazi''. Leo ni mtoto wake wa kambo, kesho ni ''house girl'', kesho kutwa ni mke wa jirani, mtondogoo ni huyo sekretary wa hapo ofisi.
Hekima ni pamoja na kuvishinda vishawishi.

Ameen mkuu umeandika kwa busara mnoo
 
mwambie akamate fursa ...........

Grand PA
 
Mwambie afanye anachohis ni sahihi. Kula kunamadhara zaid kuliko kutokula
 
Hii dunia aisee ina mengi.... mwambie aachane nae tena kwa kumuonya sana... shida yetu sisi wanaume kwenye sehemu ambayo ni mteremko huwa tunaona bonge la ngekewa bila kuangalia baada ya hapo nini kutafuata au upande wa pili wa hiyo issue itakuwaje endapo huyo msichana akimganda baba yake wa kufikia huku dharau zikiamia kwa mama yake mzaz... Hapo heshima yako uliyoijenga kwa kitambo itaanza kupotea na mwishoe dharau itarudi kwako....
 
Hii dunia aisee ina mengi.... mwambie aachane nae tena kwa kumuonya sana... shida yetu sisi wanaume kwenye sehemu ambayo ni mteremko huwa tunaona bonge la ngekewa bila kuangalia baada ya hapo nini kutafuata au upande wa pili wa hiyo issue itakuwaje endapo huyo msichana akimganda baba yake wa kufikia huku dharau zikiamia kwa mama yake mzaz... Hapo heshima yako uliyoijenga kwa kitambo itaanza kupotea na mwishoe dharau itarudi kwako....

kweli itakuwa dharau kubwa sanaa mkuu
 
Huyo rafiki yako anapenda hivyo vituko coz kama angekuwa mwanae wa kumzaa angethubutu kukaa nae sebulen na kanga mmoja au angemtimua na kumwambia ole wako siku nyingine uvae hiv au inshu ya kumlisha angefanya vivo hivyo na kama hasikii unamfata mama huku unamfokea huyu mwanao umemleaje mbona hana adabu
 
hee kama ndio hivo hata wewe hii ishu haikuhusu. Waache baba wa kambo na binti na mambo yao

Yaani dunia imekwisha, hv inawezekana kweli mtoto wako wa kambo akaanza kukufanyia vituko namna hyo kama humchekei chekei, jiheshimu baba wa kambo. Mwanzo umetwambia alikuwa anakuamkia lakini baadae akakuona hustahili hata shkamoo kwa jinsi ulivyokuwa una behave mbele yake. Acha tabia ya kimbuzi mbuzi.
 
Mwambie jamaa yako awe makini... Atajishusha hadhi yake sana endapo ataziheshimu tamaa zake juu ya huyo binti... maana hadi binti kufikia hapo tayari jamaa ameshajichekesha chekesha kwako vya kutosha.

Hata mim nimemshangaa huyu mtu ,halafu anajiita baba, Mimi nadhani huyu baba muongo au ameshatembea nae sasa anataka kumbwaga wakat mwenzake amechonga mzinga
 
mbona anamkawiza!!!!!,,,watu wengne bana,,,yan uyo alioacha tu kunsalimia tayar angeshachezea mvua,,,apigeeeee
 
Inawasha sana masikio kusikia vitu kama hivi vikiendelea kwa watu ambao tulitegemea waweze kui-shape jamii.
Hata mim nimemshangaa huyu mtu ,halafu anajiita baba, Mimi nadhani huyu baba muongo au ameshatembea nae sasa anataka kumbwaga wakat mwenzake amechonga mzinga
 
Mambo vipi jamiiforum members.

Bila shaka nyote mpo pouwaa na wazima sanaa! Nina rafiki yangu ana umri kama miaka 47 hivi tupo naye ofisi moja ijumaa aliyopita alikuwa na kihoja cha mwaka.

Ni kwamba, yeye alifiwa na mkewe kama miaka mitatu iliyopita alikuwa mwanamke wa kihehe kutoka Iringa ila walibahatika kupata watoto wawili wote wa kiume wanasoma primary.

Sasa baada ya kuishi ki-bachelor kwa muda wote huo akaamua kutafuta na kumpata mwanamke mwingine mjane lakini ambaye tayari ana binti mmoja mwenye miaka takribani 23 anayeishi naye.

Sasa huyu rafiki anasema kadri siku zinavyozidi kwenda huyo binti wake wa kufikia anakuwa anabadilika tabia kwa kasi sana.

Mwanzoni alikuwa kila asubuhi lazima binti atoe shikamoo, ila kwa sasa hakuna tena.

Anaweza kumwambia za asubuhi au akaamua kukaa kimya kabisaaa. Wanaweza kuwa wapo kwenye dinning table wanakula, ila mama mwenye nyumba akiinuka kidogo kwenda jikoni kufuata kitu, binti anaweza nyanyua kijiko cha "baba yake" huyo na kuanza kumlisha.

Binti anaweza kuvaa khanga moja tu, kisha akakaa sebuleni anaangalia TV (mpira) na baba yake mama akiwa amelala, kitu ambacho mwanzoni hakuthubutu hata kumsogelea.

Jamaa akiwa ofisini meseji kila wakati za kumjulia eti anaendeleaje na kazi.

Imekuwa too much hata saa ya kulala meseji inakuja "eti baba lala salama"kweli jamani hali hii?

Cha ajabu na kusikitisha kuliko yote, binti sasa anamuuliza eti kwa nini asiwachukue waende weekend moja trip ya Bagamoyo kuliko kukaa tu home anaboreka sana.

Yote hayo ni sehemu ndogo ya mkanda mzima wa vituko vya huyo kwa jamaa.

Mimi binafsi nilichomshauri ni kwamba amvutie tu pumzi na azidi kumvumilia, ila akiona hali inazidi kuwa mbaya achukue MAAMUZI MAGUMU kama liwalo na liwe.

Wadau mnashauri vipi.

Ivi kweli unahisi huyo rafiki yako anakueleza yote au amasema anayo yataka yeye tuu? akiwa kama baba wakufikia na mtu mzima vyovyote itakavyokua huyo ni bint yake tuuu.... na vipi mwanzo awe na tabia yakumsalimia halafu ghafla amebadilika? ebu kwanza ukipima unga upime na maji, huyo rafiki yako inamana anashindwa kumwambia mkewe kua mtoto awe anavaa nguo za heshima ? au au inakuwaje mtoto mpaka anachukua kijiko nakutaka kumlisha huyo mama anakua kaenda shamba au kaenda jikoni? na yeye mtu mzima ovyo mtoto anafika mpaka hapo ametulia tuu? haya mwambie asubiri kuvuliwa suruali ndio ilobakia.....
 
Back
Top Bottom