Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

maamuz rahisi ni kumweleza mama wa mtoto tabia za mwanae lasivyo atageuziwa kibao kuwa baba ndio kaanza ukorofi ...
ila maamuzi magumu amtifue tu huyi binti

Amkanyage?
 
huyo rafikio ni mtu wa ajabu tna mhuni sana hajui nidhamu ya baba ndani ya nyumba....
hata yeye anamtamani ndo maana anaon pouwa kuendeleza hizo tabia za kipuuzi

wanaume kama hawa majanga sana hna msimamo hana kaul ya ubaba ,...
baba ni mtu wa kuheshimika angekuwa anajiheshimu huyo binti asingeweza kufanya hayo

aone aibu kuelezea huu upuuzi kwa maana tayar anamtamani ndo mana anaendeleza kimy kimy bila kumweleza mkewe


halafu anakuja hapa kutaka sapoti ya "liwalo na liwe"
 
Ukishaona mtu anasita kufanya maamuzi kutokana na kishawishi cha ngono...

Basi tegemea matokeo ya mtu huyo kumezwa na kishawishi hicho...

na pengine alishamega tayari,anataka tiketi ya kuendeleza libeneke
 
Amuheshimu mke wake hamna chamaana atakachokipata zaid nikumdhalilisha mkewe uch ni uleule.
 
Mpime mkeo uone ana upendo kwako kiasi gani. Ukiona naye anakutenda kwa mambo ya makusudi yasiyo na utu basi mkwangue huyo motto. Tena mpe kichapo kikali kabisa baada ya hapo kutakuwa na amani hapo ndani.
 
Asante sana Ichana umenena kweli. Baba kweli na heshima zako unakubali kulishwa na libinti likubwa namna hiyo na wewe unajilegeza hata kukemea huwezi kabisa au kumwambia mama yake binti yake anayoyafanya? Eti anavaa khanga moja na wewe unakubali kukaa naye kuangalia mpira, kama ni timu naipenda nitamtimua au kumwambia aende akavae nguo maana yuko uchi. Kuna namna ya kumwambia mfano "wewe sasa ni mtu mzima hutakiwi kukaa uchi mbele ya watu na hata wazazi wako" au wakati anajitia kukulisha unamnsa kibao na unamwambia "nadhani umejua kosa lako"
huyo rafikio ni mtu wa ajabu tna mhuni sana hajui nidhamu ya baba ndani ya nyumba....
hata yeye anamtamani ndo maana anaon pouwa kuendeleza hizo tabia za kipuuzi

wanaume kama hawa majanga sana hna msimamo hana kaul ya ubaba ,...
baba ni mtu wa kuheshimika angekuwa anajiheshimu huyo binti asingeweza kufanya hayo

aone aibu kuelezea huu upuuzi kwa maana tayar anamtamani ndo mana anaendeleza kimy kimy bila kumweleza mkewe
 
Huyu mke uliye naye akizaa mtoto wale watoto wanamwitaje huyu mdada? Siyo kwamba wanamwita dada? Je na wale watoto watakapomwita dada na wewe wanakuitaje? Siyo baba? Je wewe huoni huyu ni mtoto wako? Au unataka kutwambia mtoto ni yule uliyemzaa kwa hiyo watoto wa kaka yako au dada yako kwa sababu hujawazaa unaweza kuwala, au hata dada zako kwa sababu wamezaliwa na mama yako na hujawazaa wewe basi halali yako?
Hivi umesoma vizuri hiyo thread??? Sio mtoto wake bali ni mtoto wa mwanaume mwingine...sawa mkuu???
 
Mpime mkeo uone ana upendo kwako kiasi gani. Ukiona naye anakutenda kwa mambo ya makusudi yasiyo na utu basi mkwangue huyo motto. Tena mpe kichapo kikali kabisa baada ya hapo kutakuwa na amani hapo ndani.

Mawazo ya kishetani na ya kupotoshana tu hayo mkuu
 
ajishushe hadhi mara ngapi???baba mwenyewe mcharuko hajui dhamani ya ubaba wake

shida sana kwa maana baba ana tamaa na mtoto ana tamaa,

Sasa kama wote wanatamaniana si wazishughulishe nafc zao kuondoa hizo tamaa zao lakin iwe kwa siri kubwa
 
Kimsingi huwezi kumuona fisi mahali ambako hakuna kitoweo

Inawezekana hujanielewa,ni kwamba,hakuna mtu ambae ataweza kufanya lolote kama hakuona mazingira ya kumtia "moyo",au kwa lugha nyingine "mazingira ya kukubaliana na anachokiwaza"

Kabla ya kumtongoza mwanamke kwa sisi wanaume kuna majaribio ambayo tunayafanya kabla ya kuamua kufanya hivyo,majaribio hayo yakionesha kuwa hapo ni pagumu huwa tunachukua muda wa kujishauri kwanza kisha mtu unaweza kuacha au ukajaribu tu ilimradi,yaani unakwenda bila kuwa na matumaini,lakini pale unapofanya majaribio na ukaona kuna matumaini hakuna kujiuliza bali unapeleka "wanajeshi" vitani

Hiyo ni kwetu wanaume,je inawezaje pale ambapo mwanamke au binti anapomtamani kijana wakiume au mwanaume halafu akaona ni pagumu? Jibu hapa ni rahisi sana kuwa ataacha kabisa hata kumfikiria kwasababu kutongoza kwanza sio sili ya mwanamke iwe kwa kusema au ishara,sasa unapoona binti anaanza kumtokea baba yake haijalishi ni wa kufikia au laa hapo kuna tatizo kubwa kwa baba mwenye nyumba

Kimsingi,baba wa familia ni kiongozi wa familia hiyo,kuna mambo mengine wale anaowaongoza hawatakiwi wayasikie akitamka kwa maneno kwani wanayajua kupitia lugha ya mwili tu kuwa hawayahitaji,huyo jamaa yako amemuonesha lugha ya mwili huyo mwanae kuwa "inawezekana" na ndio maana binti ameamua kuchukua hatua ya kuchangamkia fursa

Kama anataka kuvunja ndoa na kujionesha vile ambavyo ni wa hovyo,aende akamlabue huyo mtoto,katika mambo ya kijinga ambayo huyo jamaa atakuwa ameyafanya na hilo ni mojawapo na tena linaweza kuwa ni la nafsi za juu kabisa

Binadamu ambae unafikiria sawasawa utalalaje na binti ambae mama yake unaufunua utupu wake?

Pamja na hayo huyo jamaa yako anatakiwa ajikague na abadilike kabisa kwenye mitazamo na matendo yake!

Full busara. Umetisha!
 
Sasa kama wote wanatamaniana si wazishughulishe nafc zao kuondoa hizo tamaa zao lakin iwe kwa siri kubwa

Kwa hiyo wewe unaona sawa baba amlale bint yake cos ya wanatamaniana

Kizazi cha laana huyu baba na bintiye
 
Back
Top Bottom