Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

ajishushe hadhi mara ngapi???baba mwenyewe mcharuko hajui dhamani ya ubaba wake

shida sana kwa maana baba ana tamaa na mtoto ana tamaa,

Mwambie jamaa yako awe makini... Atajishusha hadhi yake sana endapo ataziheshimu tamaa zake juu ya huyo binti... maana hadi binti kufikia hapo tayari jamaa ameshajichekesha chekesha kwako vya kutosha.
 
Ukishaona mtu anasita kufanya maamuzi kutokana na kishawishi cha ngono...

Basi tegemea matokeo ya mtu huyo kumezwa na kishawishi hicho...
 
Inakatisha tamaa sana kuona mtu yupo tu.... laana anaziona ni fursa adhimu au kama zali vile.
ajishushe hadhi mara ngapi???baba mwenyewe mcharuko hajui dhamani ya ubaba wake
shida sana kwa maana baba ana tamaa na mtoto ana tamaa,
 
Kimsingi huwezi kumuona fisi mahali ambako hakuna kitoweo

Inawezekana hujanielewa,ni kwamba,hakuna mtu ambae ataweza kufanya lolote kama hakuona mazingira ya kumtia "moyo",au kwa lugha nyingine "mazingira ya kukubaliana na anachokiwaza"

Kabla ya kumtongoza mwanamke kwa sisi wanaume kuna majaribio ambayo tunayafanya kabla ya kuamua kufanya hivyo,majaribio hayo yakionesha kuwa hapo ni pagumu huwa tunachukua muda wa kujishauri kwanza kisha mtu unaweza kuacha au ukajaribu tu ilimradi,yaani unakwenda bila kuwa na matumaini,lakini pale unapofanya majaribio na ukaona kuna matumaini hakuna kujiuliza bali unapeleka "wanajeshi" vitani

Hiyo ni kwetu wanaume,je inawezaje pale ambapo mwanamke au binti anapomtamani kijana wakiume au mwanaume halafu akaona ni pagumu? Jibu hapa ni rahisi sana kuwa ataacha kabisa hata kumfikiria kwasababu kutongoza kwanza sio sili ya mwanamke iwe kwa kusema au ishara,sasa unapoona binti anaanza kumtokea baba yake haijalishi ni wa kufikia au laa hapo kuna tatizo kubwa kwa baba mwenye nyumba

Kimsingi,baba wa familia ni kiongozi wa familia hiyo,kuna mambo mengine wale anaowaongoza hawatakiwi wayasikie akitamka kwa maneno kwani wanayajua kupitia lugha ya mwili tu kuwa hawayahitaji,huyo jamaa yako amemuonesha lugha ya mwili huyo mwanae kuwa "inawezekana" na ndio maana binti ameamua kuchukua hatua ya kuchangamkia fursa

Kama anataka kuvunja ndoa na kujionesha vile ambavyo ni wa hovyo,aende akamlabue huyo mtoto,katika mambo ya kijinga ambayo huyo jamaa atakuwa ameyafanya na hilo ni mojawapo na tena linaweza kuwa ni la nafsi za juu kabisa

Binadamu ambae unafikiria sawasawa utalalaje na binti ambae mama yake unaufunua utupu wake?

Pamja na hayo huyo jamaa yako anatakiwa ajikague na abadilike kabisa kwenye mitazamo na matendo yake!
 
Huyo baba hajielewi kabisaaaa lait angekuw na busar zake angekuwa mkali na huyo binti asingethubutu kuendelea na huo upuuzi ila inaonekana dingi nae karizika na hy hali
 
maamuz rahisi ni kumweleza mama wa mtoto tabia za mwanae lasivyo atageuziwa kibao kuwa baba ndio kaanza ukorofi ...
ila maamuzi magumu amtifue tu huyi binti
 
Muulize hivi;kama angekuwa amemuoa huyo binti,halafu mamamkwe wake amtake angefanyaje?Changanyeni akili!
 
Aah bora asithubutu,yaan akilala nae tu mabinti wa hiyo age huwa hawachelewi kuanza kuonyesha dharau kwa mama yake na hata baba kwa maana anajua anakula sahani moja.Pia hawachelewi kuanza kutishia kuwa usiponifanyia hiki namwambia mama,yaan sasa ataanza kublackmailiwa bila kupenda mpaka huyo mathee atajua.
 
Ndio madhara ya watu kufikiria kwa tamaa haya mkuu. Kisa tu binti kajirahisisha... hapo nani wa kumuongoza mwenzie sasa?
Duniani hapa kuna watu wa ajabu ujue...eti binti wa kambo ukamtake kweli jamani???
 
Many Thanks Bro... I cant agree more!
Kimsingi huwezi kumuona fisi mahali ambako hakuna kitoweo

Inawezekana hujanielewa,ni kwamba,hakuna mtu ambae ataweza kufanya lolote kama hakuona mazingira ya kumtia "moyo",au kwa lugha nyingine "mazingira ya kukubaliana na anachokiwaza"

Kabla ya kumtongoza mwanamke kwa sisi wanaume kuna majaribio ambayo tunayafanya kabla ya kuamua kufanya hivyo,majaribio hayo yakionesha kuwa hapo ni pagumu huwa tunachukua muda wa kujishauri kwanza kisha mtu unaweza kuacha au ukajaribu tu ilimradi,yaani unakwenda bila kuwa na matumaini,lakini pale unapofanya majaribio na ukaona kuna matumaini hakuna kujiuliza bali unapeleka "wanajeshi" vitani

Hiyo ni kwetu wanaume,je inawezaje pale ambapo mwanamke au binti anapomtamani kijana wakiume au mwanaume halafu akaona ni pagumu? Jibu hapa ni rahisi sana kuwa ataacha kabisa hata kumfikiria kwasababu kutongoza kwanza sio sili ya mwanamke iwe kwa kusema au ishara,sasa unapoona binti anaanza kumtokea baba yake haijalishi ni wa kufikia au laa hapo kuna tatizo kubwa kwa baba mwenye nyumba

Kimsingi,baba wa familia ni kiongozi wa familia hiyo,kuna mambo mengine wale anaowaongoza hawatakiwi wayasikie akitamka kwa maneno kwani wanayajua kupitia lugha ya mwili tu kuwa hawayahitaji,huyo jamaa yako amemuonesha lugha ya mwili huyo mwanae kuwa "inawezekana" na ndio maana binti ameamua kuchukua hatua ya kuchangamkia fursa

Kama anataka kuvunja ndoa na kujionesha vile ambavyo ni wa hovyo,aende akamlabue huyo mtoto,katika mambo ya kijinga ambayo huyo jamaa atakuwa ameyafanya na hilo ni mojawapo na tena linaweza kuwa ni la nafsi za juu kabisa

Binadamu ambae unafikiria sawasawa utalalaje na binti ambae mama yake unaufunua utupu wake?

Pamja na hayo huyo jamaa yako anatakiwa ajikague na abadilike kabisa kwenye mitazamo na matendo yake!
 
Bora binti wa kambo. Kuna kabinti kamemtega babayake mdogo kabisa na kuanza kutembea nae.jamaa namlaumu sana mtoto wa kaka yake wamezaliwa tumbo moja kabisa ameshindwa kujua zamana aliyopewa na kaka yake .issue ilikuwa binti alifeli kidato cha 2 akasafilishwa kuja hapa ruvuma kutafutiwa shule kwa babayake mdogo baada ya kufika binti akaanza kutembea na rafiki wa bamdogo wake .nae bamdogo alivyojua akaamua nae atembee na mtoto wake, sijui wifu au ni ushenzi aliokuwa nao? Ukimuona ni mtu smart tena ni afisa mvazi yenye mabaka mabaka. Ameniuzi sana
 
Huyo Baba ni dhaifu, mpaka binti anarudia hivyo vitendo mara mbilimbili ni dhahiri pepo la ngono limemvaa,sasa basi hata siku moja zinaa haichekewi bali inakimbiwa kwa mbio zote,awe na msimamo asishushe hadhi yake kwa vitu vipitavyo,utu wake ni muhimu sana kuliko hiyo tamaa ya siku moja.
 
Back
Top Bottom