MyloveAsanteh kwa kutambua umuhimu wangu baby, Miller anakubishia tuu lakini kimoyomoyo anakubaliana na ile statement yako ya kwanza.
Natambua mkuu, na sisi tunaojua kutumia vitu hivi huwa tupo tayari kuvigharamiaVitu adimu gharama mkuu.
Basi basi shem,..amechoka tuu babe wangu leo,ngoja apumzike kwanza,
Nimeona mzee amechafujwa na roho hapo hataki nikushauri
Basi na wewe usikute kuna sehemu wako ana mhelp ku make money. Ukimpa anaenda kuingiza kwenye idea ya mwenzio
mmmhu basi pia usikute kuna sehem anaSpend za mtu bila kutafuta
Si kama vile ambavyo nanyi mkisikia masuala ya pesa ndii mnakumbuka 50/50!!!! Lakini sio kuosha vyombo nk.Hahaha wanawake mnakuwaga mnatumia ishu za uanaume kwenye mambo ya pesa na ulinzi. Kwenye mengine utaskia usawaaa usawaaa 50 kwa 50 sjui.
You guys are manipulative.
Uzuri mi wangu ana nisaidia kuzisaka and am okey watakoma hao wengine.
Si kama vile ambavyo nanyi mkisikia masuala ya pesa ndii mnakumbuka 50/50!!!! Lakini sio kuosha vyombo nk.
Subiri kwanza umuoe, sasa hivi anapalilia ndoa kwanza.
Halaf mkishamake more money Nani atumie sasa au no mwendo wa kutafuta tu kutumia marufuku mwishowe mnakufa mnaziacha, weweeeea real woman doesn't help u spend your money she helps u to make more money
Tupe ya kisasa nionebraza hiyo statement ya kizamani hiyo
Kweli kabisa woyooo Miller lakin hapa umemaanisha ajue kuzitumia vyema pia ni Kama mtego kwa watakaokuwa hawajachambuaa real woman should only know how to spend her mans Cash.
Wanatumia michepuko, tumestuka watafute tu sie tutatumia.Halaf mkishamake more money Nani atumie sasa au no mwendo wa kutafuta tu kutumia marufuku mwishowe mnakufa mnaziacha, weweeee
Hv hawa bado wapo miaka hii!Tafuta ambae tayari ana pesa zake.
Wewe ukawe padre tu kwakweli.
Kuosha vyombo na pesa kwa kweli bado pesa ina uzito.
Hapana nikimuoa akawa hivo namoa talaka mbona easy tuu
Lakini mimi ntakuwa nzibia mapengo makubwa makubwa tuuuu, yale madogo jamaa aendeleee kutimiza wajibu wake
Kama una nisaidia ku make money then una haki ya kuspend na ukisha pata utamu wa kuspend utanisaidia ku zimake zaidiiiHalaf mkishamake more money Nani atumie sasa au no mwendo wa kutafuta tu kutumia marufuku mwishowe mnakufa mnaziacha, weweeee