Wanajamii, nahitaji msaada wenu ktk hili.
...umepita mwezi mmoja sasa toka nikutane na binti mrembo toka kabila la Wa-iraq wanaoishi karatu...aisee ni binti mkali sana na mzuri wa moyo...(kwa kipindi hiki toka nimfahamu) kwa kudra za Mwenyezi naendelea kuomba awe mke wa ndoa.
Nauliza, mabinti wa kabila hili la wa-iraq wakoje yaani uhalisia wao kabisa...maana wahenga walisema "Ukipenda shirikisha walio nje ili upate kitu sahihi"
Tafadhali, mwenye ufahamu na mabinti wa kabila la wa-iraq anisaidie...
Nawasilisha wadau wa jukwaa!!!!
hata mimi ningekuwa mkaka ningeoa mu-iraq