Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,560
Km ni kweli wa tz hawajui kingereza, na wewe unakijua vrz bado huwezi halalisha wa tz wanajua kingereza. Ukweli utabaki kwamba wa tz hawajui kingereza. Na si kwamba hujatendewa haki, bali waliowengi ndio wamepewa haki hiyo, ww hupaswi kupewa haki hiyo
The issue is accuracy. Kama wa TZ wengi hawajui Kiingereza, kusema wa TZ hawajui Kiingereza, bila ku qualify, ni makosa, kwa sababu kuna wengine wanajua.
From a logical standpoint, you need to establish your framework, definitions, margin of error etc.
Marekani ukiwa na damu ya mweusi wewe ni mweusi hata kama 90% ya DNA yako mzungu.
Brazil na South Africa ukiwa na damu ya weuoe kidogo tu wewe si mweusi, ni mulatto /colored.
Ndiyo maana nasema ni muhimu ku qualify vitu. Kwa sababu bila ku qualify Trevor Noah atatoka zake South Africa ataenda Los Angekes na kusema yeye si Black ni colored, weusi wa Los Angeles watasema "Whaaat? This Nigga thinks he white or something"