Binti mchepuko zingatia

Binti mchepuko zingatia

uyo dada kutaka kujiua sbbu ya mume wa mtu amekutana na dushe ya dhahabu au, Mungu anisamehe siwezi jiua sbbu ya mwanaume kama mapenzi yameisha acha maisha mengine yaendelee kuna maisha mengine bada ya mapenzi.
Kule makapuku forum kuna kijana anakupenda![emoji1]
 
Ila hukuweza kuleta habari hii bila kusema inahusu watu wa humu, naona haujafanya kitu kizuri bora ungekaa kimya.

Na wewe hauaminiki kuambiwa lolote na mtu, lazima umesumulia watu kwa hata kuwataja majina.

Haujafanya jema na haumjamsaidia mtu kati ya hao bali kiwaumiza zaidi.

I hope mtu hatakutafuta tena kukuomba ushauri, inaelekea na wewe huna mume labda wala mchumba.
Hapana mwanaume ni wa huku mwanamke si wa huku . Na nimemuomba mwanaume akakubali nitoe kama ushauri kwa girls wengine .. sina nia mbaya ya kumsema mtu ... asingekubali wala nisingeweka na nimemtumia kabla ya kupost na akaona ipo pouwa.. samahani kama nimekukwaza
 
Mabinti wanajiweka kwenye mazingira hatari sana, mie nimetangaza vita nikikufuma unapotea kama wa Saanane tuu maana hamna namna ingine. Mie mwenye mume sijawahi waza kujiua sababu yake we unaanzaje labda????!!!
 
Naamin wadada wenye tabia hiyo watakua wameelewa na pia wachepukaji wanaume wenye ndoa zao pia namin watakua wameelewa lakin kama itaingilia sikio la kulia litokee kushoto bas pole zao...
Na pia umesahau kuongelea risk ya magonjwa ya ngono kama ukimwi, kaswende,kisonono, na mengine ya aina hio.

Mengineyo tena ya hatari kabisa akina Hepatitis A, B, C , E........Z
Twafwaaaa[emoji57]
 
Mabinti wanajiweka kwenye mazingira hatari sana, mie nimetangaza vita nikikufuma unapotea kama wa Saanane tuu maana hamna namna ingine. Mie mwenye mume sijawahi waza kujiua sababu yake we unaanzaje labda????!!!
Ha ha ha wanajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom