Binti mchepuko zingatia

Binti mchepuko zingatia

Mume wa mtu ukitaka kuenjoy usiweke moyo. Kwanza unaanzaje kumpenda mume wa mtu? Kwa mume wa mtu unaenda na akili moyo mwachie boyfriend.
 
Wanaakili finyu sana hapo utakuta ni pesa sio penzi na utakuta hawana elimu hata ya kutafuta kibarua
Wengi wao kama unavyosema ni pesa tu...sasa unakuta wanaona wakizaa ndo zitazidii! Kumbe wanajiongezea tatizo
 
Wanawake wameumbwa Kwan ajilii YA mwanaume akikukubali Acha wagongwe Tuu haijalishi ni mke wa mtu au dada wa mtu
 
ujitoa ufahamu tu. unajua wanawake tunatabia ya ushindani wa kipuuzi sana akiona wewe bf wako anakuceat ana cheat naye anajiona tu wa gharama kumbe hakuna lolote.. kuzaa na mume wa mtu ni sawa na kuweka kitanzi shingoni huku ukijipa moyo akiwezi nikaba

Mimi nawaona ni wajinga tu, na wakizalishwa kutwa kujilalamisha wametekelezwa, Mungu anisamehe mimi mtu akitekelezwa na mume wa mtu hata simuonei huruma.
 
Some tyms unamkaza mkeo huku unavuta hisia za mtoto mmoja mkali anaekunyima mbunye yake. Siku akiingia kingi unaeza mkojolea hata goli nane mamaeee.. Huu mchezo hautaki hasira!!
Ha haha ha
 
Mume wa mtu ukitaka kuenjoy usiweke moyo. Kwanza unaanzaje kumpenda mume wa mtu? Kwa mume wa mtu unaenda na akili moyo mwachie boyfriend.
Kabisa ukienda na moyo lazima bf akaenda pembeni
 
Mimi nawaona ni wajinga tu, na wakizalishwa kutwa kujilalamisha wametekelezwa, Mungu anisamehe mimi mtu akitekelezwa na mume wa mtu hata simuonei huruma.
Hata me pia huwa sinaga huruma nao
 
Wanaume wengine wanaenda nje na kujifanya awana peaa ili wapate wanachotaka tu, kumdo mwanamke na kula raha.

Hawajali kuwa wanaonekana hawana pesa, na uongea uongo waonewe huruma na kudaka hao wanaofikiri basi mke ataachwa na yeye atakuwa mke.
 
Ila hukuweza kuleta habari hii bila kusema inahusu watu wa humu, naona haujafanya kitu kizuri bora ungekaa kimya.

Na wewe hauaminiki kuambiwa lolote na mtu, lazima umesumulia watu kwa hata kuwataja majina.

Haujafanya jema na haumjamsaidia mtu kati ya hao bali kiwaumiza zaidi.

I hope mtu hatakutafuta tena kukuomba ushauri, inaelekea na wewe huna mume labda wala mchumba.
 
Back
Top Bottom