Binti mchepuko zingatia

Hivi mtu unajijua ni mchepuko unaanzaje kuzaa na mume wa mtu ili tu umvute awe karibu?

Unanikumbusha kisa kimoja, kuna mchepuko ulizaa na huyo kaka baadae mkewe akajua, mke akaleta sana vurugu akitaka asamehe basi mume awaandike mali zote watoto. Mwanaume akakubali,baada ya miezi 6 yule kaka alifariki kwa ajali ya kutatanisha. Yule mchepuko kabaki tu anaangaika na mtoto maana hakua na kazi, na huyu mama mpaka leo analea watoto wake na hataki hata kumsikia yule binti

Wanaume tulieni na wake zenu haijalishi mnapitia mapito gani kwenye ndoa yenu...tafuta jinsi ya kutatua hizo changamoto na sio kuongeza matatizo.
ujitoa ufahamu tu. unajua wanawake tunatabia ya ushindani wa kipuuzi sana akiona wewe bf wako anakuceat ana cheat naye anajiona tu wa gharama kumbe hakuna lolote.. kuzaa na mume wa mtu ni sawa na kuweka kitanzi shingoni huku ukijipa moyo akiwezi nikaba
 
Naamin wadada wenye tabia hiyo watakua wameelewa na pia wachepukaji wanaume wenye ndoa zao pia namin watakua wameelewa lakin kama itaingilia sikio la kulia litokee kushoto bas pole zao...
Na pia umesahau kuongelea risk ya magonjwa ya ngono kama ukimwi, kaswende,kisonono, na mengine ya aina hio.
 
Miss chaga umenichekesha hapo ulipo Sema.. Ni ufala kutoka room kwenda nje kisa tu Unaogopa.. Huo ni ufala kweli.. Nime fikiria nimeona ni ufala kweli.
na unatumia akili nyingi kwenye jambo la kifala si umkatie simu na umwambie nipo na wife
 
Naamin wadada wenye tabia hiyo watakua wameelewa na pia wachepukaji wanaume wenye ndoa zao pia namin watakua wameelewa lakin kama itaingilia sikio la kulia litokee kushoto bas pole zao...
Na pia umesahau kuongelea risk ya magonjwa ya ngono kama ukimwi, kaswende,kisonono, na mengine ya aina hio.
sikuweka hizo wameshazoea kusikia
 
.......oooh nimemwacha boyfriend wangu kisa huyu ha hahaha mume wa mtu ni wa mtu tafuta wako ….
KUCHEPUKA SIYO SULUU YA MATATIZO NDANI YA NYUMBA ZAIDI UNAONGEZA SOLVE HALAFU CHEPUKA KWA UTASHI WAKO TU…….

Niwatakie kila la kheri mjirekebishe .
Point.
 
sababu unakuwa na imagination nyiiingiiiiiii kumbe kubwa kukojoa mengine mbwembwe
Some tyms unamkaza mkeo huku unavuta hisia za mtoto mmoja mkali anaekunyima mbunye yake. Siku akiingia kingi unaeza mkojolea hata goli nane .. Huu mchezo hautaki hasira!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom