Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
Wala sijalipenda hilo busu[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Wala sijalipenda hilo busu[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ha ha ha hamchepuko ni mwizi - kisha anataka kujimilikisha alichoiba !! vituko hivi
Sawa missmume wa mtu yupoje? kila mtu ale share yake
Haya bwana.Wala sijalipenda hilo busu
Wanajitambua wakishajazwaKiukweli
Ni Ujinga wa hali ya juu kutembea na mume wa mtu
Basi tu wanawake huwa hamjitmbui
Mwisho wen u anza kumchombeza wife na utubu kweli huku ukijiandaa n majukumu ya mtotoYaani hapa umegusa kwenye mfupa, yupo mmoja anafurahia kua na ujauzito wangu huku akijua fika nna mke na watoto na nilishamwambia siwezi kukuoa ukipata mpenz mwingine olewa tuu maana umri unaenda, cha kushangaza ndio kapata mimba na anafurahia huku akidai kama nna mpango wa kumwacha kwa kigezo cha kumtaka aolewe na mwanaume mwingine nisahau hana mpango wa kuachana na mm kabisa, nimebaki namwangalia tuu nijue mwisho wetu utakuaje!
Na uroge kweliUkimchukulia mume wa mtu kama wa mtu unaeza fanya vng vbaya lakin ukiwa makin unafklia abt ur future wala uez umia cyo anakuambia tuzae ww unatega uo n uzuzu.... Coz at the end of tim aez kua mumeo labda uroge
Alitaka kujiua kweli kajingaAre you serious kuwa alitaka kujiua au alikuwa anatania tu??
Maybe maana mioyo ya watu kichaka.
Yaani ajiue kwasababu ya mume wa mtu[emoji134] [emoji134] [emoji134]Alitaka kujiua kweli kajinga
Labda alikuwa anamkuna vizuriYaani ajiue kwasababu ya mume wa mtu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Alimuahidi nini kikubwa hivyo ambacho kina thamani zaidi ya uhai wake!!
Ujiue kisa kukunwa!! Damn!Labda alikuwa anamkuna vizuri
Watu tunatofautiana mkuuUjiue kisa kukunwa!! Damn!
Ahahaa ni zaidi ya dhahabu7 years mnatafuta dhahabu?
This is shit...!! Mutha fucka....Hivi mtu unajijua ni mchepuko unaanzaje kuzaa na mume wa mtu ili tu umvute awe karibu?
Unanikumbusha kisa kimoja, kuna mchepuko ulizaa na huyo kaka baadae mkewe akajua, mke akaleta sana vurugu akitaka asamehe basi mume awaandike mali zote watoto. Mwanaume akakubali,baada ya miezi 6 yule kaka alifariki kwa ajali ya kutatanisha. Yule mchepuko kabaki tu anaangaika na mtoto maana hakua na kazi, na huyu mama mpaka leo analea watoto wake na hataki hata kumsikia yule binti
Wanaume tulieni na wake zenu haijalishi mnapitia mapito gani kwenye ndoa yenu...tafuta jinsi ya kutatua hizo changamoto na sio kuongeza matatizo.