Binti mchawi adondoka makaburini

Binti mchawi adondoka makaburini

Binafsi hiki kitu huwa sikiamini cha kuruka angani mara paaaaap kaanguka mtu hata hainingii akilini. Huyo ni mgonjwa kichwani tu
 
majitu kama haya yakikamatwa yawe yanachinjwa tu
 
Hii kazi haifundishwi chuoni jaman au nikuris tu
 
Hapo mahala kuna makanisa ya kilokole mengi sana hapo kuna nabii anasuka mpango Wa umaharufu na wavivu Wa kufikiri wametumbukia
 
Duuuhh yaani miye mwenyewe wananitesa na familia yangu mpk naomba poo. Yaani Hawa wanatakiwa wachomwe live witnessj
Sure mkuu...ila inabidi kuacha mazoea na watu usiofahamiana nao...esp. Kwenye mambo ya vyakula, Nguo,uchawi wa kwenye chakula ni mbaya zaidi
 
Sure mkuu...ila inabidi kuacha mazoea na watu usiofahamiana nao...esp. Kwenye mambo ya vyakula, Nguo,uchawi wa kwenye chakula ni mbaya zaidi

Basi tuu wabaya hawana sababu, mfano ofcn sina wa kushare nae chochote. Lakini kila ukiingia ofc anaumwa mpk utoke ndiyo unapata nafuu,kichwa kinapotokea kinauma mpk machozi.
 
mbona kanaonekana ka mboga flani kanapendeza? hawa ndo wanakujaga wakati tumelala wanatuchezeeeeea ukiamka asubhi boxa chafu.....wamekafanyaje sasa baada ya hapo?
we jamaa umenifanya nichekempaka majirani wameamka, kwa hiyo hayo ndio wanachafua boxer zetu kwa sababu hawajui kuoga
 
Muongo na mulozi ni watu wakuchomwa.
HUYU NI MGONJWA WA AKILI ASAIDIWE. HAKUNA CHA MLOZI WALA MCHAWII HAPO. TUACHE KUWAONA WANAWAKE WALIOCHANGANYIKIWA WAKIWA HAWAJAVAA VIZURI TUKAWABANDIKA KUWA NI WACHAWI. MBONA WANAUME WENGI TUWALIOCHANGANYIKIWA HUWA WANFANYA MATENDO HAYO HAWASEMWI NI WACHAWI? NI MARA NYINGI HIZI RIPOTI ZA KUANGUKA TOKA KWENYE UNGO HUWA NI WANAWAKE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom