Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,874
Sanaa mtaani kwetu wamejaa kibao siwapendi hao
Kila sehemu wamejaa, uswahilini mpk uzunguni ni shida aisee. Yaaani sheria za mkononi zinawahusu Hawa watu aiseee
Sanaa mtaani kwetu wamejaa kibao siwapendi hao
Tena unaweza kutwa hata hajawahi guswa yaani yu msafi kama theluji 😀😀

Halafu hauna hili wala lile! Unaangalia umri na kifuani panadai, unaamua kuchumbia ili ufuge uwe unayachezea muda na wakati uupendao!Naona kifuani pako makini si mchezo.....
Hivi inatokeaje Binadamu atoke angani hadi ardhini asiwe hata na mchubuko wowote? Na kama ni Ushirikina unakuwa haupo tena kwasababu alishakiuka Masharti au nawaza tofauti?
Kwa kweli...kitaaa wamejaa, makazini ndo usiseme mtu unalogwa hadi unasahau kuvaa chupi...yaaaniKila sehemu wamejaa, uswahilini mpk uzunguni ni shida aisee. Yaaani sheria za mkononi zinawahusu Hawa watu aiseee
Hivi inatokeaje Binadamu atoke angani hadi ardhini asiwe hata na mchubuko wowote? Na kama ni Ushirikina unakuwa haupo tena kwasababu alishakiuka Masharti au nawaza tofauti?
Mkuu kwa haya Matukio ya Wachawi kudondoka toka angani hadi ardhini maswali ni mengi kuliko majibu., yani vitu vingi haviingii akilini labda Wataalam waje watupitishe kidogo!Huo ni mchezo mkuu. Hapo kuna watu baadaye watajitokeza wadai ni "wataalamu" ndio wamehusika. Wanaweza kuwa waganga au watu Wa madhehebu ya Kilokole.
Sasa hebu tuhoji kwa mantiki ya kawaida:
1. Ikiwa chanzo cha kudondoka ni yeye kuchungulia ina maana hicho chombo kina madirisha?
2. Kama hicho chombo kina madirisha na mtu yeyote aliyemo chombonu akichungulia anadondoka ina maana huyo amedondoshwa na nguvu za kiasili kama upepo na gravity.
3. Kama ndivyo kwamba nguvu za nje ndio zimemdondosha imekuwaje hao wengine wasalimike wakati kwenye wamo watu zaidi ya mmoja? Ina maana hizo nguvu za nje ya chombo zili-act kwa mtu mmoja tu?
Mkuu hv inaingia akilini Binadamu anaweza toka angani hadi ardhini bila ya kuwa hata na mchubuko kweli ukizingatia hana hizo zinazoitwa nguvu za Kichawi mana alishakiuka vigezo na masharti?,Hizi pich zina walakini hazionyeshi usbahidi wowote hata chembe
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza juu ya hili. Halafu wanapoanguka toka juu hawapati majeraha hata kidogo? Au ndio nguvu hizo bado zinakuwepo na kuwafanya watue chini salama?Huo ni mchezo mkuu. Hapo kuna watu baadaye watajitokeza wadai ni "wataalamu" ndio wamehusika. Wanaweza kuwa waganga au watu Wa madhehebu ya Kilokole.
Sasa hebu tuhoji kwa mantiki ya kawaida:
1. Ikiwa chanzo cha kudondoka ni yeye kuchungulia ina maana hicho chombo kina madirisha?
2. Kama hicho chombo kina madirisha na mtu yeyote aliyemo chombonu akichungulia anadondoka ina maana huyo amedondoshwa na nguvu za kiasili kama upepo na gravity.
3. Kama ndivyo kwamba nguvu za nje ndio zimemdondosha imekuwaje hao wengine wasalimike wakati kwenye wamo watu zaidi ya mmoja? Ina maana hizo nguvu za nje ya chombo zili-act kwa mtu mmoja tu?
Hata mimi nimejiuliza hilo pia. Na kuna uwezekano mkubwa mambo mengine hayako kama ambavyo tumeaminishwa.Mkuu hv inaingia akilini Binadamu anaweza toka angani hadi ardhini bila ya kuwa hata na mchubuko kweli ukizingatia hana hizo zinazoitwa nguvu za Kichawi mana alishakiuka vigezo na masharti?,
anavyoonekana ni chizi kuna kesi nyingi sana machizi wanasingiziwa wachawi na ukizingatia hawawezi kujielezea wanaishia kuuawa au kupelekwa polisi. Labda mshana jr aje atueleze kwa hayo mavazi anaweza kuwa mchawi maana nachojua wachawi uwa wanakuwa uchi na wana mahirizi mwiliniAsije akawa Chizi......akapewa kesi ya Uchawi na kuhatarisha maisha yake.