Binti kuwa karibu sana na baba yake

Binti kuwa karibu sana na baba yake

Mi sioni tatizo ila baba yangu kuwa karibu na mimi tena nakumbuka nikiwa form 5 baba yangu aliambia 'hivi unajua binti yangu kwa nini nakupenda sana?' Nikamjibu mi ni mtoto wako'
More than that u look like ur mother, unavyoongea ,unavyocheka napenda uwe na akili kama za mama yako sawa bint yangu mpenzi?" Na ni kweli baba yangu mi ndio mshauri wangu mkubwa na niko nae close than my mom
 
Hakika machozi yananitoka kila nikisoma uzi huu,nampenda sana baba yangu kwani alikuwa rafiki yangu wa karibu na mshauri wangu mkuu.Toka amefariki nipo alone imenilazimu kuoa ili nipunguze upweke.Ewe mungu wahurumie wazazi wetu kama walivyokuwa wakituhurumia tulipokuwa wadogo.
 
Cjawahi experience love ya my dady. Yan nikisikia mdada anasema yupo karibu sana na baba yake natamani sana.
 
My former boss, a South American lady, aliniambia baada ya kupata mtoto wa pili wa kike kuwa watoto wa kike wanahitaji Baba uwe nao karibu Sana wakati wote na wako very demanding kwenye malezi. Kutokana na uzoefu wake kuwa na watoto wa kike. Akanishauri kuwa ninaporudi nyumbani niwe nabeba kitu chochote kama zawadi kwao, na nijaribu kutumia muda wangu mwingi wa ziada kuwa nao. It works very well, isipokuwa wakati wa bakora kama homework haijafanywa....

Ingawa huku uswahilini washkaji wananiambia nifuge nyoka maana watoto wa kike sio dili,,, na Mimi nawaambia kuwa dunia imeharibika unaweza kuona mtoto wako wa kiume ni bora kuliko wa kiume then siku unaskia amekuwa shoga wanaume wenzie wanampumulia utatamani dunia ipasuke ujifiche.
All in all wababa tunapenda Sana watoto wetu wa kike, malezi bora ndio kila kitu.
 
Hakika machozi yananitoka kila nikisoma uzi huu,nampenda sana baba yangu kwani alikuwa rafiki yangu wa karibu na mshauri wangu mkuu.Toka amefariki nipo alone imenilazimu kuoa ili nipunguze upweke.Ewe mungu wahurumie wazazi wetu kama walivyokuwa wakituhurumia tulipokuwa wadogo.

Aamin.
 
Just human nature!
Na ni safe zaidi kwenye makuzi ya binti!
Fanya utafiti kwa wanawake wote walio karibu na baba Zhao
Wako na kujiamini mnooooooooo!
Wengi pia walichelewa sana kuanza hizi you know mi huwa nakupendaga!
Maana huamini hakuna mtu anaweza kumpenda kama babake,ambalo ni kweli!
The Boss aliwahi kuchimba mkwara hapa kuhusu binti yake.
 
Last edited by a moderator:
Wenye baba zenu hongeren sn na mshukurun mungu sn, ktk vitu ambavyo vimeniumiza ktk maisha yangu nikukosa mapenzi ya baba na sio kwmb alifarik, hatukuwa tunajua alipo ni kitu kigumu sn ndugu sn, baba na mama ni pande mbili za sarafu moja zinategemeana, wote wana umuhimu ktk mukuzi ya mtoto, bora ujue kwmb lbd alifariki angalau utakua huumii sn lkn kutokujua ni yupi, yuko wap, na je anafahamu km anawatoto au hafahamu hilo ni tatizo.

Hata mama ajitahd vip still kuna nafas tu atahitajika kusimama baba. Nampendasn mamangu na kajitahd sn mpk hapa nilipofika ni juhud zake na naziheshimu mno lkn bd kukosa nafas ya kusema maneno km "shikamoo baba" kwangu ni ndoto mpk sasa ninaandika comment. Lbd niwe naitoa kwa wengne lkn sio kwa aliyenizaa.

Ushauri wangu kwa wote (wanaume na wanawake) kuna umuhim mkubwa kwa wazazi wote wawil kushirik ktk malezi ya watoto unless kuna sababu zisizozuilika kwa kutokuwepo mmoja. Naomba niishie hapa unaweza usiamini ila hii thread imenitoa machozi.

Aisee pole sana ila watu tuko tofauti mno. Mie sikulelewa na baba na hata alipojitokeza nikiwa chuo kikuu sikumshobokea wala mpaka leo sina muda nae ila naamini nitamsamehe siku moja. Sijawahi kujiskia upungufu kwa kutokua na baba. Najiona mtu wa kawaida, nimekamilika. Nilipendwa sana, sana na babu na bibi, wajomba na mama wadogo. Babu alikuwa ndo babangu, bibi mama yangu, mama mlezi wangu. Shukrani za pekee ziwaendee hawa watu, ila mama namshukuru zaidi. Upendo wake siwezi kuufananisha na kitu. Alijinyima vingi mno kunifurahisha na kuhakikisha nakuwa na "future" nzuri. Wakati wewe unawaasa watu (baba na mama) walee watoto kwa pamoja mi nawaasa wababa na wamama wanaojikuta peke yao kwa kutelekezwa, kutalikiwa au kufiwa au kwa sababu nyingine yoyote wafunge mkanda wawape watoto wao malezi mema.

Acha kuhuzunika kwa vitu ambavyo huwezi kuvidhibiti. Si ajabu ungelelewa na huyo baba hapa ungetoa maoni ya kuwaonea wivu wanaopendwa na baba zao kwa sababu baba yako ni kimeo (analewa, anampiga mama yako, hakukupeleka shule, kakunajisi, kakulaza njaa, yuko busy na kazi hamuonani n.k). Na si ajabu baba yako yuko hivyo ndo maana hujui aliko wala hajui uliko - hana sense ya kuwajibika (nimesema labda). Kakuambia nani baba yako angekuwa kama wa Kichunafk? We una mama unalalamika huna mtu wa kumwambia shkamoo baba. Hilo tu linakukosesha raha ya maisha wakati kuna mayatima wamepigana katika uyatima wao wameyashinda maisha na sasa ni watu wenye furaha kuliko wenye wazazi wote wawili. Kwa kuwa hayuko najua utasema baba ni baba tu hata kama zembwela. Kila kitu ni namna unavyokichukulia. Unaweza kabisa kuacha kulia. Pole tena.
 
upendo wa baba kwa wototo wa kike ni mkubwa zaid...

wabarikiwe wababa wte wanaopenda watoto wa kike
 
Wewe either ni mtoto wa mitaani, umelelewa kwa bibi or huna malezi ya pande mbili.

Umemkosea Sana huyo binti hebu muombe msamaha kulinda heshima yako humu jukwaani, if at all unayo.

Duh! Hisia zinatuendesha kweli kweli. Kwa vyovyote hawezi kuwa wa mtaani. Anaweza kuwa amelelewa na baba na mama ila baba hakuwa na mapenzi nae, au kalelewa na baba na mama na wakampa mapenzi ya kutosha ila ni mtu mwenye wivu - hapendi wenzie nao wawe na vitu vizuri, au kalelewa na mama tu na mama akampa picha mbaya ya baba yake, au kalelewa na bibi au mama au shangazi au mjomba lakini kuna values hawakumpa au walimpa ila basi tu kama nilivyosema, wivu. Kule kwetu tunaita "kififi". Anyway, hii yote ni katika kujitetea tu. Mi ni mtoto wa malezi ya babu, bibi na mama. Huwa tu sipendi watu waliolelewa na baba na mama zao wazazi wanavyotunyanyapaa kwa wao kujiona bora na wastahili zaidi kuliko sisi.
 
Aisee pole sana ila watu tuko tofauti mno. Mie sikulelewa na baba na hata alipojitokeza nikiwa chuo kikuu sikumshobokea wala mpaka leo sina muda nae ila naamini nitamsamehe siku moja. Sijawahi kujiskia upungufu kwa kutokua na baba. Najiona mtu wa kawaida, nimekamilika. Nilipendwa sana, sana na babu na bibi, wajomba na mama wadogo. Babu alikuwa ndo babangu, bibi mama yangu, mama mlezi wangu. Shukrani za pekee ziwaendee hawa watu, ila mama namshukuru zaidi. Upendo wake siwezi kuufananisha na kitu. Alijinyima vingi mno kunifurahisha na kuhakikisha nakuwa na "future" nzuri. Wakati wewe unawaasa watu (baba na mama) walee watoto kwa pamoja mi nawaasa wababa na wamama wanaojikuta peke yao kwa kutelekezwa, kutalikiwa au kufiwa au kwa sababu nyingine yoyote wafunge mkanda wawape watoto wao malezi mema.

Acha kuhuzunika kwa vitu ambavyo huwezi kuvidhibiti. Si ajabu ungelelewa na huyo baba hapa ungetoa maoni ya kuwaonea wivu wanaopendwa na baba zao kwa sababu baba yako ni kimeo (analewa, anampiga mama yako, hakukupeleka shule, kakunajisi, kakulaza njaa, yuko busy na kazi hamuonani n.k). Na si ajabu baba yako yuko hivyo ndo maana hujui aliko wala hajui uliko - hana sense ya kuwajibika (nimesema labda). Kakuambia nani baba yako angekuwa kama wa Kichunafk? We una mama unalalamika huna mtu wa kumwambia shkamoo baba. Hilo tu linakukosesha raha ya maisha wakati kuna mayatima wamepigana katika uyatima wao wameyashinda maisha na sasa ni watu wenye furaha kuliko wenye wazazi wote wawili. Kwa kuwa hayuko najua utasema baba ni baba tu hata kama zembwela. Kila kitu ni namna unavyokichukulia. Unaweza kabisa kuacha kulia. Pole tena.

Nashukuru kwa pole yako japo.ina madongo ndani yake. Lkn elewa binadam hatufanani km vidole vya mikononi vilivyo. Wewe hakulelewa na baba km mim lkn haimanishi hisia zetu zinaweza kufanana haipo hivyo na haiwezi kuwa hivyo.
 
nadhani wewe kuelewa kwako ni mtihani. He gave me the money but sikumwambia kama nataka ninunue pads. Namaanisha sikuwa free na mama sana.
Nilimpenda na kumuheshimu nashkuru kwa hilo. So please usilete tafsiri zako za kutia kichefchef kwenye vitu sensitive
Never pay attention to the nonsense. Kuna watu wana negative minds.
 
Huu upendo wenu wewe na babako basi ulivuka stage msemo wa mleta thread mpaka unatia mashaka mmmmh mpaka pedi mkawa mnanunuliana!!

Baba kumnunulia pedi mtoto wake wa kike kwani ni tatizo???? Embu dadavua kidogo
 
Nammiss sana baba yangu, ilikuwa mapema sana kwa yeye kuondoka
anyway siwezi kumpangia mungu ratiba.....
Me too dear had nmeamua kuandika uzi huu hayapiti masaa mawili mawazo ya baba lazima yaniijie kichwani yaan last year natoka kwenye graduation yangu nlimkuta anapumua kwa mashine had kufa.
 
Asanten sana wakuu kwa mawazo yenu, akina baba wote mnaowapenda mabinti zenu mbarikiwe sana jamani kwa zawadi yenye thamani isiyo na mfano.
 
Hapa sitofungamana na upande wowote

Ila ninachofahamu inaweza tokea baba akawa na upendo wa ukaribu zaidi na watoto wake iwe ke/me na inaweza tokea mama akawa na upendo wa ukaribu kwa watoto wake iwe me/ke halikadhalika
 
Nafikri si vyema tukaanza kuweka majumuisho yasiokuwa na masingi....Ni aisili ya maumbile Mwanamme kujiandaa kumlinda mwanamke na ni asili ya maumbile ya Mwanamke kuwa more secured kulindwa na mwanamme....Binti wa kike kwa kujua mapungufu ya kimaumbile aliokuwa nayo kama mwanamke anaona ni Bora ajiegemeze sehemu iliokua madhubuti zaidi....Kwa upande wa watoto wa kiume wanajua wao kama wanaume hawana haja kuhitaji msaada wa kiume kwa vile tayari ni wanaume...kwa hio ni bora wapate msaada wa kike(Misosi...usafi...maneno ya upole nk).....
 
^^
Hiyo hali ilipewa jina na mwanasaikolojia Carl Gustav Jung kuwa ni Electra Complex..ambapo watoto wa kike hushindana na mama yao kumiliki upendo wa Baba,, Jung alieleza Electra Complex ikiwa ni kufidia kinyume cha upendo wa wavulana/watoto wa kiume kumpenda mama, ambapo kwao huitwa Oedipus Complex kama ilivyofafanuliwa vema na Sigmund Freud na Mwanafalsafa wa Kigriki Plato
^^

MKUU UMEONGEA UKWELI TUPU. ILA MTOA MADA HAKUFAFANUA VIZURI NI UMRI GANI HII TABIA HUJIONYESHA. MTOTO AKIWA NA UMRI KUANZIA MIAKA MIWILI NDIO HUANZA KUPATA HUU MSUKUMO WA KUMPENDA MZAZI WAKE ALIE OPPOSITE SEX. UKITAKA KUPATA MAELEZO ZAIDI YA HAYA MAMBO JARIBU KKUGOOGLE KUHUSU OEDIPUS COMPLEX, MAMBO YA PENIS AND WOMB ENVY NA PIA electra complex kama mdau huyu alivyobainisha.
 
Me too dear had nmeamua kuandika uzi huu hayapiti masaa mawili mawazo ya baba lazima yaniijie kichwani yaan last year natoka kwenye graduation yangu nlimkuta anapumua kwa mashine had kufa.

Pole sana...
 
Back
Top Bottom