Binti kuwa karibu sana na baba yake

Binti kuwa karibu sana na baba yake

Huu upendo wenu wewe na babako basi ulivuka stage msemo wa mleta thread mpaka unatia mashaka mmmmh mpaka pedi mkawa mnanunuliana!!
nadhani wewe kuelewa kwako ni mtihani. He gave me the money but sikumwambia kama nataka ninunue pads. Namaanisha sikuwa free na mama sana.
Nilimpenda na kumuheshimu nashkuru kwa hilo. So please usilete tafsiri zako za kutia kichefchef kwenye vitu sensitive
 
Halelujah nimekuelewa mdada!
 
Wananunuliana yeye na nani?

Sipendagi watu wanaopenda kuzua na kukuza maneno tofauti na hali halisi.

Can't my Dad love me very much simply because I am his daughter?
bora unisaidie, hata sijui hayo aloandika kayapata wapi. Watu wengine wanamaisha ya ajabu sana kwa negative altitudes towards every thing.
 
Wenye baba zenu hongeren sn na mshukurun mungu sn, ktk vitu ambavyo vimeniumiza ktk maisha yangu nikukosa mapenzi ya baba na sio kwmb alifarik, hatukuwa tunajua alipo ni kitu kigumu sn ndugu sn, baba na mama ni pande mbili za sarafu moja zinategemeana, wote wana umuhimu ktk mukuzi ya mtoto, bora ujue kwmb lbd alifariki angalau utakua huumii sn lkn kutokujua ni yupi, yuko wap, na je anafahamu km anawatoto au hafahamu hilo ni tatizo.

Hata mama ajitahd vip still kuna nafas tu atahitajika kusimama baba. Nampendasn mamangu na kajitahd sn mpk hapa nilipofika ni juhud zake na naziheshimu mno lkn bd kukosa nafas ya kusema maneno km "shikamoo baba" kwangu ni ndoto mpk sasa ninaandika comment. Lbd niwe naitoa kwa wengne lkn sio kwa aliyenizaa.

Ushauri wangu kwa wote (wanaume na wanawake) kuna umuhim mkubwa kwa wazazi wote wawil kushirik ktk malezi ya watoto unless kuna sababu zisizozuilika kwa kutokuwepo mmoja. Naomba niishie hapa unaweza usiamini ila hii thread imenitoa machozi.
 
mie sijui hasa sababu but tulijikuta tuko hivyo. Kwa familia yetu mabinti tuko wawili kati ya watoto 6. Wanaume ndo walitangulia na mie ni wa5 kuzaliwa na binti wa kwanza kwa familia. Mama anasema alipendwa na baba sana wakati yuko mjamzito wa mie, basi upendo ule haujawahi kupungua hadi nilipozaliwa baba alinipenda sana yaani nami nlikuwa nampenda sana.
Nakumbuka hadi nilivyopata period mara ya kwanza alinipa hela ya pads(sikumwambia kama nataka ninunue directly) ila nadhan alijua coz alimuwakia mama na akaanzisha utaratibu wa kutoa hela za matumizi binafsi kila mwisho wa mwezi. Nilikuwa nampenda sanaaaa.
Sikuwahi kuwa na boyfriend coz nlikuwa naamini lazma atajua na ntamuudhi. Mpaka alipofariki baadae sana kama mwaka hivi ndo nikapata boyfriend.
May your soul rest in peace my father.

Pole sis!mi pia nampenda sana mtoto watoto wangu was kike.
 
Nampenda sana binti yangu hadi mama yeke ana-mind.

Ni chemistry tu iliyopo kati ya baba na mwana.

Binti anatakiwa ajue kupendwa na mwanaume unconditionally.....na lazima ianzie kwa baba
Baba ukikaa kando na binti yako atatafuta protection ya mwanaume huko nje na ndo atakutana na manyang'au.

I cant help wenye mawazo potofu, nampenda sana binti yangu lakini simdekezi!
 
Oooh I love my Dady so much,he loves me too ni rafiki yangu mkubwa,adi kwenye mpira tunataniana,pongezana n.k
Nyie wenye mawazo tofauti shauri zenu na fikra zenu mgando,pole sana kichunafk umenitoa machozi dear coz I can't imagine the way I love my dady aki passed away!!!!!
 
wanaume wanaojielewa lazma wawapende sana binti zao na kuwalinda, huwezi kumlinda mtu uliyembali nae hata kidogo.
Inauma sana na sikujua kama ningekuja kunyamaza kulia. Ila mungu ameweka kusahau. Ingawa kila nikiwa nimepata mafanikio baada ya kufurahi najikuta na huzuni ya kumkumbuka my dad na hapo lazma nianze kulia.
A Girl loves her father more than any man because, he is the only man who cant break her heart
Mungu awabariki baba zetu, walio hai awape maisha marefu yenye heri na faraja na walotangulia mbele ya haki basi awape mapumziko ya milele.
 
Wenye baba zenu hongeren sn na mshukurun mungu sn, ktk vitu ambavyo vimeniumiza ktk maisha yangu nikukosa mapenzi ya baba na sio kwmb alifarik, hatukuwa tunajua alipo ni kitu kigumu sn ndugu sn, baba na mama ni pande mbili za sarafu moja zinategemeana, wote wana umuhimu ktk mukuzi ya mtoto, bora ujue kwmb lbd alifariki angalau utakua huumii sn lkn kutokujua ni yupi, yuko wap, na je anafahamu km anawatoto au hafahamu hilo ni tatizo.

Hata mama ajitahd vip still kuna nafas tu atahitajika kusimama baba. Nampendasn mamangu na kajitahd sn mpk hapa nilipofika ni juhud zake na naziheshimu mno lkn bd kukosa nafas ya kusema maneno km "shikamoo baba" kwangu ni ndoto mpk sasa ninaandika comment. Lbd niwe naitoa kwa wengne lkn sio kwa aliyenizaa.

Ushauri wangu kwa wote (wanaume na wanawake) kuna umuhim mkubwa kwa wazazi wote wawil kushirik ktk malezi ya watoto unless kuna sababu zisizozuilika kwa kutokuwepo mmoja. Naomba niishie hapa unaweza usiamini ila hii thread imenitoa machozi.

ni kweli mkuu tena pole sana kwa kulelewa na mzazi mmoja na inauma sana my mum die when i was young however my dady loved us so much but we felt the gap wazazi wote ni muhmu kwa kweli kwenye malezi ya watoto
 
Uhusiano wangu na baba yangu ulikuwa wa kipekee, Mimi ndo binti pekee katika familia yetu basi Mzee alinidekeza hadi basi, full kubebwa hadi jitu zima, alinifundisha kusoma na kuandika manake huko vidudu nilikuwa sielewi, Hadi kidato cha tatu nilikuwa nafuliwa uniform na Mzee.
Yani nilikuwa namjua akifurahi au akikasirika, na kuna kipindi ulitokea mgogoro kati yake na mama so akawa anachelewa kurudi ( ilikuwa sio kawaida yake kuchelewa kurudi home) Niliogopa, nikaanza kumpa huduma za kifalme ili asipachukie nyumbani kwake, nikawa nampikia vizuri( alikuwa anapenda kula vizuri) nahakikisha nyumba safi kabla hajarudi, namuandalia maji ya kuoga, nampigisha story za mpira( alikuwa shabiki wa simba), basi akaanza kuwahi kurudi nyumbani na akirudi yupo sebuleni na mimi. Mama akaanza kunimind, akawa ananambia yani angekuwa mama wa kambo angehisi kuna kitu kinaendelea kati yangu na Mzee.
na nadhani huu uhusiano wangu na baba umeniathiri katika kuanzisha mahusiano ya kimapenz, ili uuteke moyo wangu lazima uwe na sifa walau moja kama ya baba yangu. hapo najifeel secure mtoto wa baba mie.
Mola mlaze mahali pema peponi baba yangu mpenzi.
 
^^
Hiyo hali ilipewa jina na mwanasaikolojia Carl Gustav Jung kuwa ni Electra Complex..ambapo watoto wa kike hushindana na mama yao kumiliki upendo wa Baba,, Jung alieleza Electra Complex ikiwa ni kufidia kinyume cha upendo wa wavulana/watoto wa kiume kumpenda mama, ambapo kwao huitwa Oedipus Complex kama ilivyofafanuliwa vema na Sigmund Freud na Mwanafalsafa wa Kigriki Plato
^^

Lakini inamuda wake,nafikiri kati ya 2 yrs hadi 7yrs kama sijakosea,sasa huyu anadai hadi utu uzima nafikiri ni upendo tu wa mzazi kwa mwanae kutaka awe karibu ili aweze kumlea vzr na kumuhudumia vzr katika misingi na maadili mazuri apendayo mzazi.
 
Huu upendo wenu wewe na babako basi ulivuka stage msemo wa mleta thread mpaka unatia mashaka mmmmh mpaka pedi mkawa mnanunuliana!!

Wewe either ni mtoto wa mitaani, umelelewa kwa bibi or huna malezi ya pande mbili.

Umemkosea Sana huyo binti hebu muombe msamaha kulinda heshima yako humu jukwaani, if at all unayo.
 
^^
Hiyo hali ilipewa jina na mwanasaikolojia Carl Gustav Jung kuwa ni Electra Complex..ambapo watoto wa kike hushindana na mama yao kumiliki upendo wa Baba,, Jung alieleza Electra Complex ikiwa ni kufidia kinyume cha upendo wa wavulana/watoto wa kiume kumpenda mama, ambapo kwao huitwa Oedipus Complex kama ilivyofafanuliwa vema na Sigmund Freud na Mwanafalsafa wa Kigriki Plato
^^

Umenikumbusha educational psychology.
 
Back
Top Bottom