Binti Kapandisha Mapepo Gheto

Binti Kapandisha Mapepo Gheto

Mapepo mengine hayapendi uchafu..kuna mdada mmoja alikua ana mapepo siku akitoka ku do yanaongea yanasema kila kitu
 
He, pole brother,sasa wewe unakemea pepo umetoka kwenye ngono, tena una Bahati lingekupasua ngeu.
 
Umenichekesha yaan umetoka kuzin halafu unakemea pepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo mapepo yalifaa yakuraruwe kbixa kwa kuyachezea
 
Hahahahah [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana,,
Yaani baada ya kugegeda ukaanza kupiga ombi a.k.a kukemea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmetoka kuzini alafu unakemea pepo... Ulikemea kwa jina la nani mkuu?
 
Back
Top Bottom