Binti Kapandisha Mapepo Gheto

Binti Kapandisha Mapepo Gheto

Habari zenu wakuu.

Weekend hii nilikuwa na mihadi na binti mmoja hivi nilikutana naye nikiwa kwenye harakati za kusaka pesa.

Nikaimbisha binti akaelewa somo. Huku na kule tukapanga weekend hii tuivunje amri ya sita. Binti ilifika muda mida ya mchana, tukala vizuri. Mida flani mvua akaanza nikaona ndio muda muafaka wa kugegeda papuchi kwa ndomu.

Tumamaliza mgegedo muda wa kwenda kuoga, binti akaanguka chini, kuna meza ya kioo pale chumbani akaipiga teke ikavunjika na kumkata mguu. Akazidi kupiga kelele, nikaona huu ni msala.
Nikatamani kwenda nje kuomba msaada nikashindwa, kwa sababu alikuwa naked kabsa.

Nikaona hamna namna, nikaanza kukemea na nikiwa na ki-boxer changu. Kemea kemea, wapi. Mwishoe nikaamua nimvalishe nguo ili angalau nimtoe nje. Nili fight kumvalisha nikafanikiwa. Nikamtoa nje. Akagalagala kwenye mkeka mwisho akatulia.

SOMO.
Kuanzia hapo nimekoma, nikipata binti nampeleka hospital kupima AFYA then kanisani aombewe.

KiloMoja
Mkuu umenichekesha eti ukawa unakemea huku umevaa ki boxer
 
Haaahaaaa! Wengine wana majini mahaba yamewaoa, yatakuja kuwanyonga! Hayataki wake zao wawe na wanaume wa kimwili!
 
Mpaka kakatwa na kioo cha meza?Hatari sana wounds za vioo huwa zinasababisha damu nyingi kumwagika ni bahati amepata muda wa kupumzika kwenye mkeka!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mpaka kakatwa na kioo cha meza?Hatari sana wounds za vioo huwa zinasababisha damu nyingi kumwagika ni bahati amepata muda wa kupumzika kwenye mkeka!
Ni bahati kwa kweli. Nashukuru aliweza kurudi kwao mzima.
 
Aliyekataza hilo jambo alikuwa na maana yake!!!
 
Back
Top Bottom