Yaani Mkuu
mijitu kama hii inakera sana ila naamini nyonyoni mwao hawa watetezi wa kapuya nafsi zao zinakiri na kuwasuta
Mwisho wa siku ukweli utabaki pale pale kapuya ni mbakaji
Kapuya kwa kumtishia kumuua hilo ni kosa la jinai. Pia Kapuya hana moral authority kwakuwa atakuwa alitembea naye. Ila ninachosema huyu binti Amina siyo mwanafunzi, na hana miaka 16. Ni mtu mzima na ameolewa na wanamtoto mmoja. Sasa ninachoshindwa kuelewa huyo mume huwa anayachukuliaje haya matukio ya huyu mke? Ila kwenye kesi ya rafiki yangu, huyu mme alitusaidia sana maana alijileta mwenyewe mahakamani kutoa ushahidi.
Hizi njaa zitawafanya mpaka muwauze wazazi wenu kama si ninyi wenyewe kuuzwa. Kwa shilingi ngapi ulizopewa hadi kukurupuka na uharo huu?
Nenda kafie mbele huko
Wanajamvi, nimefanya utafiti wakina kuhusu huyu binti. Kisa cha kufanya utafiti huu ni baada ya kuona maelezo yanayotolewa humu jamvini kuhusu huyu yanafanana kabisa na binti aliyemsumbua sana rafiki yangu mwaka jana. Nimefikia hata hatua ya kuuliza huyo binti umbo lake likoje.
Binti huyu aliwahi kuishi nyumba ya familia ya rafiki yangu mwaka 2011. Ni binti mwembamba na mweusi. Jina alilotumia ni Amina. Na alisema ni mtoto yatima na ansoma Sekondari huko Songea. Rafiki yangu alimpeleka hadi nyumbani kwa mama yake Kigamboni. Akidhani anamsaidia mtoto yatima. Binafsi nimewahi kumkuta pale nyumbani kwa mama wa rafiki yangu na katika maelezo yake alisema kuna mtu yupo jela kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka.
Wanajamvi, huyu binti alileta sokomoko pale Kigamboni kwa mama wa rafiki yangu, na details zake zipo polisi kigamboni, central na polisi Chang'ombe.
Ni binti hatari. Ana mtoto mmoja na anamume. Kama siyo mumewe kujakutoa ushahidi mahakamani, basi rafiki yangu angefungwa.
Kosa alilofanya rafiki yangu ni kulala na huyo binti. Hivyo basi kwakuwa Kapuya kalala naye basi kazi kwake.
Pale central police anafahamika kwani alishamtapeli hata mama Salma Kikwete. Yaani, Kapuya ajitahidi ampeleke tu pale Central Police basi kesi itaisha.
Kwakuwa binti mwenyewe ni huyu, basi hili jambo tulipe muda tu ukweli utajulikana muda mfupi. Mwisho naomba vyombo vya kutetea haki za binadamu, visaidie baada ya ukweli ukiwa wazi, basi wafuatilie yule aliyefungwa kwa kosa la kumbaka huyu binti atakuwa alionewa tu. Jamani binti huyu ni hatari, mengi sikutaka yaweka wazi ili nisimvue nguo rafiki yangu. Ila ushahidi ukihitajika nipo tayari kumleta huyu aliyesumbuliwa na binti huyu tapeli.
ni jambo la kujiuliza kweli kweli kwenye jambo kama hilo wamemshtaki mizengo pinda kwa kauli tu!sembuse hili ?!! Labda kuna jambo wamelifahamu,pia sisi wana jf tusipende kukashifu au kupinga tu, tukipewa taarifa mpya juu ya suala hili au lolote lile ambalo wapo watu wanalolifahamu vyema,pia akili za kuambiwa changanya na zakwao,jambo zuri kupinga hoja kwa hoja sio kwa kashfa au matusi.Cha kujiuliza pia ni kwa nini mpaka sasa hautujui kesi imefunguliwa wapi lini na.mahakama gani na japo namba. Halafu baada ya kuachana nayo kwa nini kina mama na taasisi zao hawajanyanyua ukope!!!!!
Cha kujiuliza pia ni kwa nini mpaka sasa hautujui kesi imefunguliwa wapi lini na.mahakama gani na japo namba. Halafu baada ya kuachana nayo kwa nini kina mama na taasisi zao hawajanyanyua ukope!!!!!
Cha kujiuliza hapa ni kwanini Tanzania daima wameachana na hii story...
Hawa wajinga mioyo yao imetiwa ganzi kutokana na tamaa za pesa, hawana utu tena. wamebaki kuwa binadamu tu..
Wacha kutudanganya kwa mambo ya kusikia. Wewe na Le Mutus mmeandikiwa na hata bila ya kusoma mkatubandikia mkaacha alama ya shaka. Kwa mtu mwenye akili na mjanja ambaye angeamua kufanya utafiti angeanzia shule anayosoma huyu binti. Akipata uhakika kuwa hayupo, basi anatuwekea clip hapa yenye mahojiano na mkuu wa shule, diwani wa Sinza na binti wa diwani huyo.
Nyie mnatuwekea ushahidi uliosikia tena inawezekana umeambiwa na Kapuya!!!!
Hata hivyo hata kama huyo mama kama ni mwongo ila bado kapuya atakuwa alilala naye halafu akamtishia maisha na kujitangazia uwaziri mkuu.
huyo Amina wa zaidi ya miaka 16 ni wako. sisi tunamuongelea aliyebakwa na Alhaj .ana miaka 16 na ni mwanafunzi. Kama na huyo Amina mwenye mume naye ni demu wa Alhaj basi hivo unairemba cv ya Alhaj. prof. mheshimiwa mbunge
Arushaone, naomba unielewe. Simtetei Kapuya ila nakwambia huyu ni hatari. Nikwakuwa mimi nawewehatujuani lakini binti huyu hatari. Wewe subiri uone mwisho wake.
Mkuu katika post yako dhamira kuu ni kumsafisha Pro. Kapuya, ila pole kwani umeshafeli kwa mawazo mepesi uliyoyaleta kwa Magreat Thinker.
Hapo kwenye BLUE umeonyesha udhaifu wako. Kwani huyo binti kwa taarifa rasmi ni mwanafunzi aliyekuwa anasaidiwa na Pro. Kapuya na hajawai kuolewa na wala hana mtoto. Na inawezekana vipi umwite Binti na huku unajua kuwa ameolewa na anamtoto? (ubinti hapo uko wapi)
Hapo kwenye RED ebu funguka amefanya utapeli upi? maana utataka tupeleke mawazo mbali na ata kuhisi kuwa huyu binti wapo pia waku wa juu ya Kapuya washatenda dhambi juu ya huyu binti mdogo.
Mwisho atakama ulichokiandika kingekuwa ni ukweli kisingewedha kumsafisha Pro. Kapuya kwa sababu kwa umbri na wadhifa wa Pro. Kapuya apaswi kufanya bdhambi kama hiyo na binti sawa na mjukuu wake.
HIKI NI KITENDO CHA AIBU NA KILA MTU ANAPASWA KUKIKEMEA
Kwa hiyo rafiki yako na kapuya wameshare k moja? Walah hii grid inayounganishwa tutapona kweli?