Adam mtiga
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 104
- 15
Hizi njaa zitawafanya mpaka muwauze wazazi wenu kama si ninyi wenyewe kuuzwa. Kwa shilingi ngapi ulizopewa hadi kukurupuka na uharo huu?
Nenda kafie mbele huko
Wanajamvi, nimefanya utafiti wakina kuhusu huyu binti. Kisa cha kufanya utafiti huu ni baada ya kuona maelezo yanayotolewa humu jamvini kuhusu huyu yanafanana kabisa na binti aliyemsumbua sana rafiki yangu mwaka jana. Nimefikia hata hatua ya kuuliza huyo binti umbo lake likoje.
Binti huyu aliwahi kuishi nyumba ya familia ya rafiki yangu mwaka 2011. Ni binti mwembamba na mweusi. Jina alilotumia ni Amina. Na alisema ni mtoto yatima na ansoma Sekondari huko Songea. Rafiki yangu alimpeleka hadi nyumbani kwa mama yake Kigamboni. Akidhani anamsaidia mtoto yatima. Binafsi nimewahi kumkuta pale nyumbani kwa mama wa rafiki yangu na katika maelezo yake alisema kuna mtu yupo jela kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka.
Wanajamvi, huyu binti alileta sokomoko pale Kigamboni kwa mama wa rafiki yangu, na details zake zipo polisi kigamboni, central na polisi Chang'ombe.
Ni binti hatari. Ana mtoto mmoja na anamume. Kama siyo mumewe kujakutoa ushahidi mahakamani, basi rafiki yangu angefungwa.
Kosa alilofanya rafiki yangu ni kulala na huyo binti. Hivyo basi kwakuwa Kapuya kalala naye basi kazi kwake.
Pale central police anafahamika kwani alishamtapeli hata mama Salma Kikwete. Yaani, Kapuya ajitahidi ampeleke tu pale Central Police basi kesi itaisha.
Kwakuwa binti mwenyewe ni huyu, basi hili jambo tulipe muda tu ukweli utajulikana muda mfupi. Mwisho naomba vyombo vya kutetea haki za binadamu, visaidie baada ya ukweli ukiwa wazi, basi wafuatilie yule aliyefungwa kwa kosa la kumbaka huyu binti atakuwa alionewa tu. Jamani binti huyu ni hatari, mengi sikutaka yaweka wazi ili nisimvue nguo rafiki yangu. Ila ushahidi ukihitajika nipo tayari kumleta huyu aliyesumbuliwa na binti huyu tapeli.
Tapeli huwa hatumii jina moja, hata Shigongo naye ametapeliwa na binti huyo huyo akitumia majina tofauti
Kumbe ndo wale wale wazee wa ukanda lazima ukatae kwani kwako ndiyo sio na sio sio. Wazee wa matukio ninyi vipi? Shoga wa Arusha

Baada ya utafiti wako huo fake nani anaekulipa! Nchi hii ina mabwege wengi.
Cha kujiuliza hapa ni kwanini Tanzania daima wameachana na hii story...
Pesa zinauza utu jamaa anatetea kwa udi na uvumba kisa shiling tatu alizopewa na Kapuya lol huoni ata huruma kwa binti yatima kama huyu si bure wewe pia ni mbakaji kama Kapuya
Njaa ni mbaya sana ikipanda kichwani.... kuna mijitu imeingia hapa inamtetea mbakaji KAPUYA hadi inakata viuno..... hawana tofauti na punda wa sembe..
Mmmmh naye bwana magazeti alikula mzigo???!!!!
Maana inaonesha yeye anatapeli kwa maumbile yake ya kike as per other stories!!!!!!
Alivytapeliwa akakaa kimya licha ya kuwa na.uwezo wa kutoa tahadhari kwa jamii au ali conspire???!!!
Kuweni makini na majina ya watu,mtawachafua!!!!!
Mama salma Kikwete kupitia taasisi yake ya WAMA naye amewahi kutapeliwa na mtu huyu huyu akitumia majina tofauti
Mbona unatokwa povu wakati hata hakujapambazuka wakati unaandika hii mambo! Dah, unatumia nguvu mpaka aibuuKapuya kwa kumtishia kumuua hilo ni kosa la jinai. Pia Kapuya hana moral authority kwakuwa atakuwa alitembea naye. Ila ninachosema huyu binti Amina siyo mwanafunzi, na hana miaka 16. Ni mtu mzima na ameolewa na wanamtoto mmoja. Sasa ninachoshindwa kuelewa huyo mume huwa anayachukuliaje haya matukio ya huyu mke? Ila kwenye kesi ya rafiki yangu, huyu mme alitusaidia sana maana alijileta mwenyewe mahakamani kutoa ushahidi.
Yaani Mkuu
mijitu kama hii inakera sana ila naamini nyonyoni mwao hawa watetezi wa kapuya nafsi zao zinakiri na kuwasuta
Mwisho wa siku ukweli utabaki pale pale kapuya ni mbakaji