Binti ananitishia kunifanya ndondocha

Hivi waarabu mnawajua au mnawasikia?

watu wa bara wengi mkiopoa hata mnyaturu mnakuja kusema mmepata binti wa kiarabu...

tembea uone
hahahahaha. perhaps the girl ana karangi kaunjano kidgo jamaa kajua ni muarabu.
 
Hivi bado kuna watu wanaamini kuwa kuna rangi ya pekee ya binadamu ya kufanya mambo ya pekee kwa namna ya pekee kuliko yanayofanywa na rangi zingine?

Mlete kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu afadhari wewe, mimi kuna dem nilimsaundisha nikaleta zile swaga za HIT AND RUN kumbe dem mganga wa kienyeji.... mbilinge ninalokumbana nalo sasa sio la sayari hii.
 
Hi Mr. Ndondocha
 
mkuu afadhari wewe, mimi kuna dem nilimsaundisha nikaleta zile swaga za HIT AND RUN kumbe dem mganga wa kienyeji.... mbilinge ninalokumbana nalo sasa sio la sayari hii.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…