Binti ananitishia kunifanya ndondocha

Kama umempenda hata akikufanya ndondocha sio kesi sana,simnasemaga "mahaba niue nye?"
 

Kimsingi nafikili atakua anakutisha tu ili akukamate uwe nae akihofia siku moja utamuacha japo usipuuze,kama wewe ni wa MUNGU mshinde kwa maombi na dua sahihi za muumba,kama na wewe ni mdhambi pita anakopita ili kama mbwai na iwe mbwai tu!
 
Acha kushamba,umepata mwarabu wa kidigo...ndio kelele apa....!
 

Hakuna ukweli kwenye hili na hata story yenyewe, Haya mambo tulikuwa tukisimuliana vijiweni Enzi hizooo
 
Kumbe anatishia? Subiri akishakufanya ndio uje kuomba ushauri.
 
Hahahaja,wazee wa mahaba niue.

Acha akufanye ndondocha,kwani siunampenda bhana
 
Ombea akufanye ndondocha kuliko akubadilishe jinsia ya hisia zako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…